Kwenye kampeni yanatolewa maneno matamu sana na ahadi lukuki mfano hii ya kugawa milioni hamsini kila kijiji nchi nzima Leo hii naona kwenye machapishi kwamba haiwezekani tena kugawa hizo hela kila kijiji kwani vijiji vina Rasilimali za kutosha.
Je wakati wa kampeni mlivyoahidi hamkuziona hizo Rasilimali hata mkaahidi hayo mabilioni.? Watanzania nionavyo Mimi muwe na Akili za kujitafakari jambo kabla ya kutenda.mfano wewe ni mtumishi wa umma au wa kampuni mkuu wako anakuletea fomu au karatasi yenye maandishi anakwambia saini hapa we unasaini tu bila kujiuliza na kutafakari Kwa nini akaniambia nisaini bila kuuliza nasaini nini?
Hili ni fundisho kila wakati wa kampeni tunashangilia tu bila kujitambua