Watanzania na Afrika tujifunze siasa na utu kuthamini binadamu wenzetu

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,162
Ipo misemo madaraka hulevya, ni kweli tunashuhudia inatokea.
Nimeguswa na Sehemu ujumbe Balozi wa Uingereza nchini David Conker Tweeter ." .... Nimerejea baada ya likizo yangu ....kurejea kuimarisha mahusiano ya nchi zetu miongoni mwa vipaumbele vyake ... biashara, uwekezaji,elimu.... Pia kufatilia Shauri la Freeman Mbowe.
Screenshot_20210903-184841_1.jpg
 
Back
Top Bottom