technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,557
- 57,857
Naamini ni wetu sote
Kariakoo- Dar watu wanalala barabarani usiku
Makoroboi - Mwanza watu wanalala nje
Arusha mjini watu kibao wanalala nje vijana jua ni lao na mvua ni yao
Kwa Sasa Kuna baridi Kali Sana Arusha nimepita majuzi na mwanza ndio usiseme!!
Nimeumia Sana Leo kuwaona mpaka wanawake wamelala nje ilala na kariakoo
Mungu visaidie vizazi vyetu Mungu wasaidie Watanzania Hawa wajikwamue.
Najua Kuna watu watawasema vibaya Hawa watu lakini nakwambia ujafa ujaumbika haya sio maisha ni mateso hakuna Mtanzania ambaye anapenda kuishi maisha haya
Mungu tusaidie!!