Watanzania msidanganyike na Ulaghai wa PFIZER & MODERNA dhidi ya JANSSEN (J&J)

Chanzo ya Pfizer-BionTech na ile ya Moderna zimetuia teknolojia ya mRNA (kutumia RNA ya kirusi cha corona kutengeneza chanjo)
Chanjo ya Janssen (J&J) imetumia teknolojia ya kupandikiza RNA ya corona kwenye kirusi cha Adenovirus na kutengeneza chanjo.

Chanjo za Moderna na Pfizer majaribio yao yalifanyika nchi ya Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya... Sample size yake haikuwa kubwa sana na majariio hayo yalifanyika wakati hakuna variants wengi wa corona.
Chanjo ya Janssen (J&J) majaribio yake yamefanyika nchi za Amerika, Ulaya, Asia na Afrika.Mfano: US, UK, BRAZIL, CAMBODIA, INDIA, AFRIKA YA KUSINI, MISRI n.kn.k. Lakini pia chanjo hii SAMPLE SIZE yake ili kuwa kubwa sana kwenye majaribio tofauti na hizo chanjo za Pfizer na Moderna. Pia majaribio ya Janssen yamefanyika wakati dunia ina variants wengi wa corona.
Chanjo za Pfizer na Moderna unatoa dozi mbili.
Chanjo ya Janssen unatoa dozi moja.
Uki expose kwenye Delta variants... Chanjoya Janssen iko stable kuliko hizo za Pfizer na Moderna.Ndiyo maana Pfizer na Moderna zimeanza kutoa booster dose ya chanjo zao kwa wazee miaka 65 na kuendelea.
Kinachoendelea kwa sasa ni kuoneshana ubabe wa nani ni nani kwenye chanjo.
Pfizer and Moderna wanataka ku dorminate vaccine industry ya COVID-19.
MSIDANGANYIKE

RECOMMENDATIONS za WHO za mwezi huu wa DECEMBER, 2021 KUHUSU JANSSEN: Interim recommendations for the use of the Janssen Ad26.COV2.S (COVID-19) vaccine
Kwa maskitiko makubwa naomba niseme nyinyi ndiyo mnatupa kazi ngumu ya kutoa elimu dhidi ya chanjo ya Covid-19, tunaongea mpaka mate mdomon yanakauka kwa sababu ya ujinga mnaolisishana vikaoni huko huku mkijifanya kunukuu yasiyonukulika!
 
Kwani ukija na maelezo tofauti na ya kwangu watu hawatakuelewa? Toa hizo nukuu zako zinazo nukulika watu wazisome
 
Chanjo zote ni biashara tu

Inabdi wanasayansi waatalam wa kiafrika waje nao na chanjo zao....

Ova
 
Chanzo ya Pfizer-BionTech na ile ya Moderna zimetuia teknolojia ya mRNA (kutumia RNA ya kirusi cha corona kutengeneza chanjo)
Chanjo ya Janssen (J&J) imetumia teknolojia ya kupandikiza RNA ya corona kwenye kirusi cha Adenovirus na kutengeneza chanjo.

Chanjo za Moderna na Pfizer majaribio yao yalifanyika nchi ya Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya... Sample size yake haikuwa kubwa sana na majariio hayo yalifanyika wakati hakuna variants wengi wa corona.
Chanjo ya Janssen (J&J) majaribio yake yamefanyika nchi za Amerika, Ulaya, Asia na Afrika.Mfano: US, UK, BRAZIL, CAMBODIA, INDIA, AFRIKA YA KUSINI, MISRI n.kn.k. Lakini pia chanjo hii SAMPLE SIZE yake ili kuwa kubwa sana kwenye majaribio tofauti na hizo chanjo za Pfizer na Moderna. Pia majaribio ya Janssen yamefanyika wakati dunia ina variants wengi wa corona.
Chanjo za Pfizer na Moderna unatoa dozi mbili.
Chanjo ya Janssen unatoa dozi moja.
Uki expose kwenye Delta variants... Chanjoya Janssen iko stable kuliko hizo za Pfizer na Moderna.Ndiyo maana Pfizer na Moderna zimeanza kutoa booster dose ya chanjo zao kwa wazee miaka 65 na kuendelea.
Kinachoendelea kwa sasa ni kuoneshana ubabe wa nani ni nani kwenye chanjo.
Pfizer and Moderna wanataka ku dorminate vaccine industry ya COVID-19.
MSIDANGANYIKE

RECOMMENDATIONS za WHO za mwezi huu wa DECEMBER, 2021 KUHUSU JANSSEN: Interim recommendations for the use of the Janssen Ad26.COV2.S (COVID-19) vaccine
Naona una kautaalam ka mambo ya chanjo, binafsi nakushauri uje na ya kwako ndipo uwashauri watu kuliko kuwasemea wanaoshindana huko ughaibuni
 
Chanzo ya Pfizer-BionTech na ile ya Moderna zimetuia teknolojia ya mRNA (kutumia RNA ya kirusi cha corona kutengeneza chanjo)
Chanjo ya Janssen (J&J) imetumia teknolojia ya kupandikiza RNA ya corona kwenye kirusi cha Adenovirus na kutengeneza chanjo.

Chanjo za Moderna na Pfizer majaribio yao yalifanyika nchi ya Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya... Sample size yake haikuwa kubwa sana na majariio hayo yalifanyika wakati hakuna variants wengi wa corona.
Chanjo ya Janssen (J&J) majaribio yake yamefanyika nchi za Amerika, Ulaya, Asia na Afrika.Mfano: US, UK, BRAZIL, CAMBODIA, INDIA, AFRIKA YA KUSINI, MISRI n.kn.k. Lakini pia chanjo hii SAMPLE SIZE yake ili kuwa kubwa sana kwenye majaribio tofauti na hizo chanjo za Pfizer na Moderna. Pia majaribio ya Janssen yamefanyika wakati dunia ina variants wengi wa corona.
Chanjo za Pfizer na Moderna unatoa dozi mbili.
Chanjo ya Janssen unatoa dozi moja.
Uki expose kwenye Delta variants... Chanjoya Janssen iko stable kuliko hizo za Pfizer na Moderna.Ndiyo maana Pfizer na Moderna zimeanza kutoa booster dose ya chanjo zao kwa wazee miaka 65 na kuendelea.
Kinachoendelea kwa sasa ni kuoneshana ubabe wa nani ni nani kwenye chanjo.
Pfizer and Moderna wanataka ku dorminate vaccine industry ya COVID-19.
MSIDANGANYIKE

RECOMMENDATIONS za WHO za mwezi huu wa DECEMBER, 2021 KUHUSU JANSSEN: Interim recommendations for the use of the Janssen Ad26.COV2.S (COVID-19) vaccine

  1. Wanapopigana mafahari ziumiazo ni nyasi
  2. Vita vya panzi furaha ya kunguru

Huu ugojjwa wa Korona umenifanya nirejelee notisi zangu za mwaka wa kwanza za DRA na RNA replication . Messenger Rna, Ribosome Rna, Transfer Rna na zile code za CAT , CCA, nk
 
Back
Top Bottom