technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Acha tupate malipo yetu maana rais tuliyemtaka yuko kitini
Kweli wala ujakosea wacha tuisome namba mwaka mmoja kama kahaa mika kumi
Hahaaaa mkuu umenichekesha sana, na bado sana hapa kama ni namba bado tupo kwenye real number mpaka tufike complex numberNimeamini bora kukaa na shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua
Ni kweli ananyoosha na wananchi mpaka waugue utapia mlo kwa njaaAcheni kulia lia Jpm ni mpango wa mungu mwacheni ainyooshe nchi.
Huyu ndie rais bora Afrika kwa sasa kama humpendi na humtaki hama Nchi nenda unakoona ni rahisi na wataendana na matakwa yako!!! Lipa kodi acha kelele, nadhani mkaa ungepandishwa kodi mara dufu iwe zaidi hata ya gesi, ili misitu yetu ipone,!! Ukitembea nchi hii ndio utajua misitu inaishaje kwa kukata miti, ukikalisha matako yako dar es salaam peke yake hutaziona hizo athari za ukataji miti.Nilitegemea tutaambiwa sasa mtungi wa kilo15 ni tsh elfu ishirini au 15 watu waache kutumia mkaa ningewaelewa,hawa mawazir wengine sijui kichwani waliwekewa ubongo wa kiumbe gani,yaani kuweka mikodi mikubwa kwa mfanyabiashara ndio kumkomesha?yalianza kwenye mialamala ya bank mara simu na sasa mkaa,kwanini mnatulazimisha kuichukia serikali enyi mawaziri vihiy
Acha siasa za propaganda eneo la misitu ambayo haijaguswa wala kutumika Tanzania ni 94% .......Huyu ndie rais bora Afrika kwa sasa kama humpendi na humtaki hama Nchi nenda unakoona ni rahisi na wataendana na matakwa yako!!! Lipa kodi acha kelele, nadhani mkaa ungepandishwa kodi mara dufu iwe zaidi hata ya gesi, ili misitu yetu ipone,!! Ukitembea nchi hii ndio utajua misitu inaishaje kwa kukata miti, ukikalisha matako yako dar es salaam peke yake hutaziona hizo athari za ukataji miti.
Hongera sana serikali Yetu Hongera mh, rais.!!!
94% !!! Una hakika bila shaka,!Acha siasa za propaganda eneo la misitu ambayo haijaguswa wala kutumika Tanzania ni 94% .......
Kuna mapori ambayo miti ukua na mwisho wake kukauka na kuoza .....
We unaleta siasa watu unataka wapikie nini wakati watumia wengi wa mkaa ndio hao walala hoi......
Baada ya kupunguza gesi kwanza na mafuta ya taa unakuja na Sera mbovu kama hii alafu unakuta wewe ni kiongozi kwenye serikali ya kiuni hii upuuzi mtupu.......
cha uchoyo kweli maskin akipata du.......we unajifikiria wewe hukumbuki hao wa kijijin wataishije unanyoosha kidole juu kwa mipasho ?basi wapen njia nyingine kama mnataka hivo vichakaHuyu ndie rais bora Afrika kwa sasa kama humpendi na humtaki hama Nchi nenda unakoona ni rahisi na wataendana na matakwa yako!!! Lipa kodi acha kelele, nadhani mkaa ungepandishwa kodi mara dufu iwe zaidi hata ya gesi, ili misitu yetu ipone,!! Ukitembea nchi hii ndio utajua misitu inaishaje kwa kukata miti, ukikalisha matako yako dar es salaam peke yake hutaziona hizo athari za ukataji miti.
Hongera sana serikali Yetu Hongera mh, rais.!!!