technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,841
Gesi bei juu.....
Umeme utapanda January.......
Mafuta ya taa bado bei juu eti waliogopa uchakachuaji....
Je kuweka kodi kubwa kwenye mkaa kiasi hiki maana yake nini?
Watu watapikia nini?
Chips itapanda...
Nyama choma zitapanda....
Hata mahindi ya kuchoma yatapanda.....
Kweli nchi inanyooshwa......