Watanzania mnaponea wapi hata kama mkaa unaongezewa kodi maradufu?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,955
48,751

Gesi bei juu.....

Umeme utapanda January.......

Mafuta ya taa bado bei juu eti waliogopa uchakachuaji....

Je kuweka kodi kubwa kwenye mkaa kiasi hiki maana yake nini?

Watu watapikia nini?

Chips itapanda...
Nyama choma zitapanda....
Hata mahindi ya kuchoma yatapanda.....

Kweli nchi inanyooshwa......
 
mafuta ya taa walitupandishia bei kwa kisingizio yanatumika kuchakachua mafuta ya magar yao wakaona watuangamize wapikia mchina tukakimbilia mkaa...huku nako wametufata hivi wanataka tuishije au ndo waliposem tutaishi kama mashetan hii pia ni namna yao ya tuishi kama mashetani?,
Anakuja mtu mzima anatetea sijui anafikilia kwa kutumia mata**,kabla huja support kwanza uliza kuna njia gani mbadala wametupatia wapikia mikaa,Umeme hatuwez kupikia,Gas hatuna uwezo watupe alternative bhas au kaa washushe bei za nishat nyingine.

Kuna faida gan kusema unatunza mazingira huku raia wanakufa wakikosa namna ya kuishi labda mnawatunzia mazingira wazungu!,nipe mbadala uone kama nitapikia mkaa au mnadhan tunapenda jinsi mkaa unafanya macho yetu yanakuwa mekundu kama tunavuta bangi!

HAKUNA MTU ASIYE JUA ATHARI ZA MATUMIZI YA MKAA KWA TAIFA,SHUSHENI BEI ZA UMEME NA GAS MUONE KAMA TUTATUMIA MKAA TENA...salaam kwako mjomba
 
Mkaa unapaswa kupandishwa bei na maeneo mengine upigwe marufuku
only na umeme ushushwe bei
 
  • Thanks
Reactions: GUI
chipss zitapanda bei sasa,nyama choma na mishkaki itapanda bei,mpaka mahindi ya kuchomwa yatauzwa buku sasa!!!
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Bado tushamaliza namba moja bado hadi Tisa kuweni wapole sindano za moto ziingie
 
Nilitegemea tutaambiwa sasa mtungi wa kilo15 ni tsh elfu ishirini au 15 watu waache kutumia mkaa ningewaelewa,hawa mawazir wengine sijui kichwani waliwekewa ubongo wa kiumbe gani,yaani kuweka mikodi mikubwa kwa mfanyabiashara ndio kumkomesha?yalianza kwenye mialamala ya bank mara simu na sasa mkaa,kwanini mnatulazimisha kuichukia serikali enyi mawaziri vihiy
 
Huyu ndie rais bora Afrika kwa sasa kama humpendi na humtaki hama Nchi nenda unakoona ni rahisi na wataendana na matakwa yako!!! Lipa kodi acha kelele, nadhani mkaa ungepandishwa kodi mara dufu iwe zaidi hata ya gesi, ili misitu yetu ipone,!! Ukitembea nchi hii ndio utajua misitu inaishaje kwa kukata miti, ukikalisha matako yako dar es salaam peke yake hutaziona hizo athari za ukataji miti.
Hongera sana serikali Yetu Hongera mh, rais.!!!
 
Acha siasa za propaganda eneo la misitu ambayo haijaguswa wala kutumika Tanzania ni 94% .......

Kuna mapori ambayo miti ukua na mwisho wake kukauka na kuoza .....

We unaleta siasa watu unataka wapikie nini wakati watumia wengi wa mkaa ndio hao walala hoi......

Baada ya kupunguza gesi kwanza na mafuta ya taa unakuja na Sera mbovu kama hii alafu unakuta wewe ni kiongozi kwenye serikali ya kiuni hii upuuzi mtupu.......
 
94% !!! Una hakika bila shaka,!
Pita njia iendayo sumbawanga.! Toka Tunduma mpaka sumbawanga angalia je kuna misitu, angalia mikaa inayopangwa barabarani nadhani utajifunza kitu,
Nenda Tanga anzia lugoba mpaka segera angalia kama kuna misitu kisha angalia mkaa ulio barabarani elekea dodoma kwenda mwanza,! Nenda njia ya lindi mpaka mtwara ukiweza safiri kwa ndege, halafu leta hadithi zako za 94%.
Huenda tunaongelea faida za kizazi chako kijacho sio hiki cha leo.!!!
Usipokuwa na akili ni ngumu sana kufundishwa ukaelewa.!!
 
Huyu ndie rais bora Afrika kwa sasa kama humpendi na humtaki hama Nchi nenda unakoona ni rahisi na wataendana na matakwa yako!!! Lipa kodi acha kelele, nadhani mkaa ungepandishwa kodi mara dufu iwe zaidi hata ya gesi, ili misitu yetu ipone,!! Ukitembea nchi hii ndio utajua misitu inaishaje kwa kukata miti, ukikalisha matako yako dar es salaam peke yake hutaziona hizo athari za ukataji miti.
Hongera sana serikali Yetu Hongera mh, rais.!!!
cha uchoyo kweli maskin akipata du.......we unajifikiria wewe hukumbuki hao wa kijijin wataishije unanyoosha kidole juu kwa mipasho ?basi wapen njia nyingine kama mnataka hivo vichaka
 
Wakazi wa mwanza hebu kama mnataka kutumia gesi nipigieni kwa 0688955988 bei ya complete ndogo ni 65000 tu na kubwa plate mbili ni 180,000 tu. Mda wa kuachana na mkaa umefika.
f5de2612dbd351048c5d2695dc7fa0c6.jpg
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom