Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 4,175
- 7,232
Lucas mashambwaWatanzania hususa ni watumiaji wa bandari ya Dar es Salaam hamjambo? Mmeanza kuona faida za uwepo wa DP World sio?
Watumiaji wa kawaida wa bidhaa zinazoingizwa nchini vipi si mnaona wenyewe bei zilivyoshuka?
By Boss la DP World aka boss la makobazi.