Watanzania mnakwama wapi, mbona hili la korosho mliangukia pua kwa kishindo pamoja na mbwembwe zote zile

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,650
48,415
Taarifa zinasema mapato ya korosho kwenu yalishuka kwa asilimia 63% yaani asilimia zote hizo jameni mbona nyingi mno, nilijua kwa mbwembwe na mikwara yote ile hadi mkahusisha magwanda ya JWTZ kila kitu kitaenda sawa.
-------------------------------------

Tanzania’s total cashew nut sales on the international market dropped 63 per cent to $196.5 million last year, compared with $529.6 million in the 2017 trading period, Minister for Finance and Economic planning Phillip Mpango has said.
Dr Mpango, who was presenting the 2019/20 budget in Dodoma, said exports fell to 120,200 tonnes from 329,400 tonnes in 2017. However, the price per tonne on the international market increased by 1.7 per cent from $1,607.7 to $1,634.2 in the one-year period.

Tanzania is among the world’s largest producers of raw cashew nuts, having realised a total production of 313,826 tonnes in the 2017/18 crop year. Cashew nut is the lead cash crop export in the country followed by tea, coffee and sisal.
Cashew nut production in Tanzania during the last harvest season (2017/2018) stood at about 240,000 tonnes, out of which, some 213,000 tonnes were purchased by the government. About 90 per cent of the cashew nuts are exported in their raw form owing to the country’s low processing capacity.

To grow local processing, Tanzania is looking for investors to add value on the nuts and produce products such as cashew nut cheese or butter, sweets, fruit drinks or distilled liquor, lubricants, waterproofing and paints.
Tanzania also wants investors for new plantations aimed at increasing production and total tonnage, suppliers of machinery, equipment, spare parts and investors to put up industrial parks and develop cashew nut processing industrial zones.
 
Hakuna chuo kikuu kinachozidi UoN, University of Nairobi ukanda huu wote kwenye quality ya elimu na mengine mengi zaidi. Atakayebisha ntamzaba kofi la kilo.

Sasa bro MAMBO ya kuzabana vibao yanatokea wapiii? Basi kama ni hivyo wewe ni bingwa.
 
Hakuna chuo kikuu kinachozidi UoN, University of Nairobi ukanda huu wote kwenye quality ya elimu na mengine mengi zaidi. Atakayebisha ntamzaba kofi la kilo.
Oyaaa cha Arusha nini, wapi na wapi UoN na korosho za Bongo.....hehehe
 
Baada ya Koroshow tukaingia ATCL kuota kutu, tukaingia Bagamoyo, Sasa nashuku hata SGR anakuwa tembo mweupeee. CCM hoyeeeeee!
 
Kuingiza jeshi kwenye mambo ya biashara ndiko kulimponza huyu mtu. Alikuwa anafikiri kuwa anaweza kupigana na bei ya korosho kwa kutumia jeshi. Bei ya korosho inadepend na supply and demand. Kama alikuwa anataka bei ya juu basi wangefanya value addition lakini sio kupakia korosho kwenye magala wakingoja bei ipande. Wajenge viwanda vya kufanya value addition kama wanataka bei ya juu. Vinginevyo wakulima watazidi kuumia sana.
 
Back
Top Bottom