Watanzania mnajionaje?

Najiona tofauti kidogo na Watanzania wengi.. Kama yupo Mtz makini kama me ataungana na mimi kuuliza, mnajionaje??
ni ujinga mtupu kutufananisha na BOKO HARAM
auubaguzi wako wa Kitutsi
ni maisha yasiyoelzeka kabisa vifo na hofu kutoaminiana majirani vitisho na vifo vinatawala
sema Nchi nyingine lkn sio Nigeria na Rwanda
 
Kiranga jamani
 
Mbna na mim huwa na socializes twitter bt yu can't trace lifestyle ya mtu wa twitter na anacho post,,,pia sis ni tofauti na hao wengine ndo maana we are Tanzanian and they are nigerian and others yu can't force people tu be equal,,, na pia kwa sis watanzia kwa mmoja mmoja pia tunatofautiana likewise na hao unao socialize nao they're not the same in terms of individual character,,,,.tatu umesema tupo tofauti mean umetucrash sana yet ujaelezea kweny misingi ip??
 
Kitu kimoja tu. Siingilii uhuru wa mtu, ninataka kujua Watz mnajiskiaje mnajionaje ktk hili. Kama mko sawa ... good and well. Binafsi nataka kila mtu Duniani amtazame mtazania kichanya kama ilivyo kwa waafrica wengine wa mataifa mengine.

Wachapa kazi, wawajibikaji!
 
Nimeamua ku quote uzi wote sasa maana umenishangaza sana.
Una point nzuri, umeelezea wa Tanzania na utanzania wao. Bila shaka unawafahamu vyema Watanzania, lakini lugha yako na uandishi wako haufanani kabisa na hadhi hiyo unayojibatizia mwenyewe ywasilishaji wako wa mambo upo tofauti sana na ni hovyo kabisa
1: Lugha mbovu
2: vifupisho vingi ( hatukuelewi)
3: Umeshindwa kutumia lugha yetu kwa usahihi( unachanganya changanya lugha!! nadhani huo ni umarekani sasa)
4: Unajitoa kwenye kundi la panya wakati wewe pia panya ( huku ni kukosa uzarendo mkuu)
Kwa aina hii wewe pia ni mbomoa nchi tu kama tulivyo sisi!! maana umesema hata mada zetu huku JF huwa hauchangii, sasa wewe unafaida gani na nchi yetu? Badilika Mkuu, tupe njia za kuwa kama hao unaowaona bora na sio kujitukana mwenyewe JF hapa
 
Heshima yako bro! Maneno yako yameeleweka vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…