Watanzania mnajionaje?

Watanzania mnajionaje?

capitalpool

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
22,369
Reaction score
121,267

Nisikitike sana SANA! Mambo ninayoyaona kwa Watanzania wengi hapa Nchini na hata nje ya TZ ni AJABU kwakweli. Tabia zenu HAZIELEZEKI, hazieleweki! Yaani ikitokea nimeishi na Mtz ama kufanyakazi na MTz hua ni changamoto kwelikweli!

Binafsi si mchangiaji sana hapa JF cuz most of your posts sio maisha ya ulimwengu huu kidogo twitter ina reflect life lkn hapa JF .. bla bla bla nothing serious. Huwa nafurahia sana ku- socialise na watu wa nje kuliko watu hapa Tz. Kama nakosea samahani sana ila nayasema tu kwa nia nzuri. Zungumzia U - Great thinker utabaki kwa MAX na crew yake, kidogo Biashara uchumi na ujasiriamali alikuepo Ontario wengine wooote, kwekweli ni HAMNA KITU!

Nikifikiria kuhusu hapa nyumbani styl ya maisha mlionayo kwa ujumla hua nachoka, wakati mwingine nakosa usingizi kabisaa .. tunajivunie nini TZ? Yan ni AIBU (kitu sipendi maisha yangu yote). Entertainment hakuna, Siasa safi hakuna, Uadilifu zero, Uchapakazi hakuna, Time management zero! Yani ni changamoto!! You are not existing in reality, You are not existing in this world'S life.

Franky, nmeishi na kufanya kazi na Nigerians, Rwandese na kadharika huko nje, And am not sorry to say I envy these Ppl.

Eti kwani Watz mnajionaJE??
 
Nisikitike sana SANA! Mambo ninayoyaona kwa Watanzania wengi hapa Nchini na hata nje ya TZ ni ASANTE kwakweli. Tabia zenu HAZIELEZEKI, hazieleweki! Yaani ikitokea nimeishi na Mtz ama kufanyakazi na MTz hua ni changamoto kwelikweli!

Binafsi si mchangiaji sana hapa JF cuz most of your posts sio maisha ya ulimwengu huu kidogo twitter ina reflect life lkn hapa JF .. bla bla bla nothing serious. Huwa nafurahia sana ku- socialise na watu wa nje kuliko watu hapa Tz. Kama nakosea samahani sana ila nayasema tu kwa nia nzuri. Zungumzia U - Great thinker utabaki kwa MAX na crew yake, kidogo Biashara uchumi na ujasiriamali alikuepo Ontario wengine wooote, ni ASANTE kwa kweli. HAMNA KITU

Nikifikiria kuhusa hapa nyumbani styl ya maisha mlionayo kwa ujumla hua nachoka, wakati mwingine nakosa usingizi kabisaa .. tunajivunie nini TZ? Yan ni aibu (kitu sipendi maisha yangu yote). Entertainment hakuna, Siasa safi hakuna, Uadilifu zero, Uchapakazi hakuna, Time management zero! Yani ni changamoto!! You are not existing in reality, You are not existing in this world life.

Franky, nmeishi na kufanya kazi na Nigerians, Rwandese huko nje, And am not sorry to say I envy these Ppl.

Et kwani Watz mnajionaje?
Tuache kama tulivyo mkuu.
 
Kila watu na tabia na tamaduni zao, huwezi kulazimisha Watanzania waishi kama Wanyarwanda kwavile umependa mfumo wao wa maisha. Tanzania tuna namna yetu ya kuishi na pengine hii ndio inatutofautisha na raia wa nchi nyingine, hatuwezi kuishi maisha ya kuigiza ili tumfurahishe kama sio kumvutia mtu au kundi fulani la watu.
Changamoto kubwa kwenye maisha ni pale unaposhindwa kuishi na watu wenye tabia tofauti na kwenda nao sawa, jitahidi kuwazoea Watanzania na mifumo yao ya maisha... kama inakuwia ugumu kufanya hivyo basi nenda ukaishi Rwanda au Nigeria.
 
Nisikitike sana SANA! Mambo ninayoyaona kwa Watanzania wengi hapa Nchini na hata nje ya TZ .. Dah! ni ASANTE. Tabia zenu HAZIELEZEKI, hazieleweki! Yaani ikitokea nimeishi na Mtz ama kufanyakazi na MTz hua ni changamoto kwelikweli!

Binafsi si mchangiaji sana hapa JF cuz most of your posts sio maisha ya ulimwengu huu kidogo twitter ina reflect life lkn hapa JF .. bla bla bla nothing serious. Huwa nafurahia sana ku- socialise na watu wa nje kuliko watu hapa Tz. Kama nakosea samahani sana ila nayasema tu kwa nia nzuri. Zungumzia U - Great thinker utabaki kwa MAX na crew yake, kidogo Biashara uchumi na ujasiriamali alikuepo Ontario wengine wooote, ni ASANTE kwa kweli. HAMNA KITU

Nikifikiria kuhusa hapa nyumbani styl ya maisha mlionayo kwa ujumla hua nachoka, wakati mwingine nakosa usingizi kabisaa .. tujivunie nini TZ? Yan ni aibu (kitu sipendi maisha yangu yote). Entertainment hakuna, Siasa safi hakuna, Uadilifu zero, Uchapakazi hakuna, Time management zero! Yani ni changamoto!! You are not existing in reality, You are not existing in this world life.

Franky, nmeishi na kufanya kazi na Nigerians, Rwandese huko nje, And am not sorry to say I envy these Ppl.

Et kwani Watz mnajionaje?
 
Kila watu na tabia na tamaduni zao, huwezi kulazimisha Watanzania waishi kama Wanyarwanda kwavile umependa mfumo wao wa maisha. Tanzania tuna namna yetu ya kuishi na pengine hii ndio inatutofautisha na raia wa nchi nyingine, hatuwezi kuishi maisha ya kuigiza ili tumfurahishe kama sio kumvutia mtu au kundi fulani la watu.
Changamoto kubwa kwenye maisha ni pale unaposhindwa kuishi na watu wenye tabia tofauti na kwenda nao sawa, jitahidi kuwazoea Watanzania na mifumo yao ya maisha... kama inakuwia ugumu kufanya hivyo basi nenda ukaishi Rwanda au Nigeria.
The old woman looks after the child to grow its teeth and the young one in turn looks after the old woman when she loses her teeth.

Thats wat am tying to do here bro,
 
Back
Top Bottom