Watanzania mna matatizo gani?

Watanzania mna matatizo gani?

Ndio, kama umechoka au huwezikulipwa kazi yenye ujira mdogo, ni bora uache ukatafute kwingine kwenye ujira mkubwa.

Kama ni kwa idhini ya mwajiliwa au kibarua hiyo ni sawa....ila kama ni maneno ya mwajiri kwa wafanyakazi wake....hapo kuna walakini.
 
Kwa kweli hili ni tatizo kubwa sana Tanzania. Wawekezaji wakija na wawekezaji wao wanalalamika. Wakipewa kazi hawafanyi vizuri kila siku kulalamika. Kila siku udhuru. mshahara anataka uleule wala hajal;i kama umepata faida au la. Kwa kweli change of mind set haraka sana otehrwize hata huo uwekezaji utakuwa mgumu sana!
 
Yame kukuta nini? mi Jasho lani toka sasa hivi jembamba kabisa hakika kurudishana nyuma sana
 
una matatizo ya akili mleta mada,ukisema watanzania mna matatizo gani alaf unaeleza huo upuuz wako ni dalili ya uchizi,kuna watanzania wenye heshima zetu,naona kama unatuvunjia heshima,kuwa makini na kauli zako,
 
Umasikini na Ujinga ndio chanzo
 
Dubai niliwahi sahau mifuko yangu nje ya duka nikafika mpaka home kurudi nikakuta imehifadhiwa pembeni,Bahrain nilisahau Laptop ndani ya bag lake chini tu ya counter supermarket wakati nalipia,nikafika home Massa 3nikarudi dukani nikakuta imehifadhiwa!
 
Pole kaka wewe ni mwenyeji na hapa ndio Tanzania, hata viwanda binafsi na vya serikali, mashirika binafsi na ya umma hichi kinachokushangaza wewe ndicho kilichayaua. Wapo majiri wakubwa, wakati na wajasiriali wanaohofia kupoteza pesa zao kwa kuibiwa, hili huchangia upungufu wa ajira Nchini mwetu. Wacha mifugo iliyo tayari, umeanda kijishamba chako umeatesha miche yako ya matunda mtu anapita anang'oa anatupa au anaiba.
 
una matatizo ya akili mleta mada,ukisema watanzania mna matatizo gani alaf unaeleza huo upuuz wako ni dalili ya uchizi,kuna watanzania wenye heshima zetu,naona kama unatuvunjia heshima,kuwa makini na kauli zako,

Nyie ndo wezi wenyewe, mkiambiwa mnakuwa wakali.
 
Kwahiyo tuweke maroboti badala ya watu?
unafikiri kuweka maroboti inawezekana? mi nilikuwa na jaribu kusema chanzo cha tatizo na si kulitafutia justification. tukae chini tutafute practical solutions. njia moja ni kuandikishiana mkataba. hata kama ni mtu anasimamia matikiti hakikisha mmeandikishiana. utafiti unaonyesha watu wanaogopa sana maandishi.
 
Mi juzi Kuna dogo kaja kanifanyia usafi ndani kisha kafanya chenji Cota ya wire socket ya limot ya kuekea luku. Kaweka mbovu aliokuja nao mzima katambaa nao
 
Back
Top Bottom