Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,631
- Thread starter
- #21
Yaani ni kama ulikua kwenye akili yangu hapa nilipo nimeshamfukuza mfanyakazi kwa uzembe na kukosa uaminifu na mwingine nimempeleka police kwa wizi yani majority ya watanzania ni hopeless kabisa mtu unamtreat kama ndugu yako mpaka unamtatulia matatizo yake ya kifamilia mbali na mshahara lakini anarudi anakuibia au anachezea mahesabu kukutapeli.
Bora na wewe umenisaidia kusema.
Nilidhani ni mimi peke yangu ndo ninakutana na haya.