Watanzania mna matatizo gani?

Watanzania mna matatizo gani?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,631
1. Unaanzisha mradi wako wa kuku au nguruwe shamba, kuna watu watakuja watavunja wataiba kuku au nguruwe wako.
2. Unamuajiri mfanyakazi akutunzie shamba huku unamlipa. Hafanyi kazi anazotakiwa kufanya na bado anataka kulipwa.
3. Unamuajiri mtu akusimamie kwenye biashara, anakosa uaminifu anakuibia.

N.k
Tatizo la watanzania ni wezi na wanakosa uaminifu. Wanataka wasimamiwe back to back. Wanataka walindwe usiku na mchana.
Huwa najiuliza hii ni tabia au ni dhiki? Inakuaje uajiriwe na unalipwa mshahara na bado unamibia muajiri wako? Kama mshahara ni mdogo si uache kazi ukatafute wanapolipa zaidi?
Mbona mnawakwaza wajasiriamali na wafanyabiashara? Kama huwezi kuwa muaminifu si uende kwa amani kuliko kuwa mwizi au kuchoresha ramani za wizi?
 
Hayo matatizo uliyoyaelezea hayako mahsusi kwa Watanzania tu.

Hata kwa wengine yapo na ndo maana kuna kanuni, sheria, na taratibu za kukabiliana nayo pale yanapotokea.

Ni matatizo ya kibinadamu. Hayana Utanzania wala Usukuma.

Cha msingi na muhimu ni jinsi gani utakabiliana nayo pindi yanapotokea.
 
Ni kweli lakina kwa sisi Watanzania ni almost 80 percent tunashiriki wizi
inaitwa 'kupiga'

Fundi anakujengea nyumba
unamuuliza gharama za ujenzi anakwambia milioni 4
unamlipa
halafu unamuuliza idadi ya mifuko ya cement
anakwambia 40.....

Cha ajabu anaiba mifuko 15
anakwambia 'imeisha'
ongeza imngine 15......

why asingeweka gharama hizo za mifuko 15 kwenye hela ujenzi ajenge
amalize?
 
Hata ulimwengu wa kwanza yapo?
Mbona wafanyakazi wengi wa baadhi ya 'start ups' wanafanya kazi kwa uaminifu hadi inakuwa kampuni kubwa?
Inamaana wafanyakazi wa kampuni kama Cargil, Monsanto au Dupont ambao wapo kwenye matawi mbalimbali duniani wanaiba kama hapa kwetu?
Kama ndio, hayo makampuni yanawezaje kuwa 'control' hao wafanyakazi wasiibe hivyo.??
 
Unampa dawa mfanyakazi wako shambani apige kutokana na masharti yanayotakiwa ila anauza nusu ya dawa then anachanganya hivyohivyo halafu anauza iliyobaki.
Mwisho wa siku anakuharibia mradi wako mzima.
 
Ila ajabu zaidi ni pale mtu anakuja kukuvunjia kwenye biashara yako halafu anaiba.
Yani nashindwa kuelewa kabisa.
Inakufanya hadi unakuwa mtumwa wa mradi wako.
Huna amani kabisa.
 
Unampa dawa mfanyakazi wako shambani apige kutokana na masharti yanayotakiwa ila anauza nusu ya dawa then anachanganya hivyohivyo halafu anauza iliyobaki.
Mwisho wa siku anakuharibia mradi wako mzima.

Utamaduni wa 'kupiga' umetuharibu taifa zima
 
Sio watz tu mkuu! Wizi ni tabia ya watu wote weusi kwa weupe!
 
Ni kweli lakina kwa sisi Watanzania ni almost 80 percent tunashiriki wizi
inaitwa 'kupiga'

Fundi anakujengea nyumba
unamuuliza gharama za ujenzi anakwambia milioni 4
unamlipa
halafu unamuuliza idadi ya mifuko ya cement
anakwambia 40.....

Cha ajabu anaiba mifuko 15
anakwambia 'imeisha'
ongeza imngine 15......

why asingeweka gharama hizo za mifuko 15 kwenye hela ujenzi ajenge
amalize?

Enhee...unaona sasa...

Huo ni mfano mzuri sana.

Muda si mrefu ulopita nimekamilisha ujenzi.

Msimamizi mkuu alikuwa ni mama yangu pamoja na mimi mwenyewe.

Hakuna hata siku moja ambayo tulimpa fundi hela aende kununua mahitaji.

Tulikuwa tunaenda wenyewe kununua vitu [inspiration ya ule uzi wangu wa Nabaki Afrika..unakumbuka?] na 'site' tulihakikisha mmoja wetu anakuwepo nyakati zote...kuanzia asubuhi mafundi wanapofika hadi jioni wanapomaliza kazi.

Ndo maana nikasema hapo juu kuwa cha msingi na muhimu ni jinsi gani utakabiliana nayo pindi yanapotokea.

Na naweza pia kuongeza kuwa namna ambavyo utakuwa umejiandaa kuzuia utokeaji wake nayo ni muhimu sana.
 
Utamaduni wa 'kupiga' umetuharibu taifa zima

Lakini mazoea na utamaduni wa kutokufuata na kutekeleza sheria ndo umetuharibu zaidi.

Watu walikuwa wanapiga hela nje nje with impunity.

Huwezi kukuta upuuzi kama huo Marekani, kwa mfano.
 
Enhee...unaona sasa...

Huo ni mfano mzuri sana.

Muda si mrefu ulopita nimekamilisha ujenzi.

Msimamizi mkuu alikuwa ni mama yangu pamoja na mimi mwenyewe.

Hakuna hata siku moja ambayo tulimpa fundi hela aende kununua mahitaji.

Tulikuwa tunaenda wenyewe kununua vitu [inspiration ya ule uzi wangu wa Nabaki Afrika..unakumbuka?] na 'site' tulihakikisha mmoja wetu anakuwepo nyakati zote...kuanzia asubuhi mafundi wanapofika hadi jioni wanapomaliza kazi.

Ndo maana nikasema hapo juu kuwa cha msingi na muhimu ni jinsi gani utakabiliana nayo pindi yanapotokea.

Na naweza pia kuongeza kuwa namna ambavyo utakuwa umejiandaa kuzuia utokeaji wake nayo ni muhimu sana.

Una bahati na time hapo
wengine hawapati time kabisa za kushinda site
 
Enhee...unaona sasa...

Huo ni mfano mzuri sana.

Muda si mrefu ulopita nimekamilisha ujenzi.

Msimamizi mkuu alikuwa ni mama yangu pamoja na mimi mwenyewe.

Hakuna hata siku moja ambayo tulimpa fundi hela aende kununua mahitaji.

Tulikuwa tunaenda wenyewe kununua vitu [inspiration ya ule uzi wangu wa Nabaki Afrika..unakumbuka?] na 'site' tulihakikisha mmoja wetu anakuwepo nyakati zote...kuanzia asubuhi mafundi wanapofika hadi jioni wanapomaliza kazi.

Ndo maana nikasema hapo juu kuwa cha msingi na muhimu ni jinsi gani utakabiliana nayo pindi yanapotokea.

Na naweza pia kuongeza kuwa namna ambavyo utakuwa umejiandaa kuzuia utokeaji wake nayo ni muhimu sana.

Concern yangu ni hii:
Kwanini mfanyakazi/fundi asifanye kazi kwa weledi hadi asimamiwe kama mtoto?
Binafsi, nataka ifike wakati mtu unaachiwa mradi, unaufanya kuwa uaminifu na kukabidhi matokeo bila kuharibika au kuibiwa kitu.
 
Yapo ndiyo na ndo maana kuna sheria dhidi ya matendo kama hayo na huwa zinatekelezwa kwa kiwango kikubwa sana.

Mbona wafanyakazi wengi wa baadhi ya 'start ups' wanafanya kazi kwa uaminifu hadi inakuwa kampuni kubwa?

Kwa sababu wanajua kuwa kuna sheria kali na huwa zinatekelezwa. Sasa mtu anaona ni bora tu awe mwaminifu kuliko kujiharibia kabisa maisha kwa kuwa na li felony litakalomganda maisha yake yote.

Inamaana wafanyakazi wa kampuni kama Cargil, Monsanto au Dupont ambao wapo kwenye matawi mbalimbali duniani wanaiba kama hapa kwetu?

Mambo yote huanzia juu. Kiongozi au viongozi ndo huwa wana set the tone. Kama mwizi akikamatwa na hatua kali zikachukuliwa basi amini kuwa lazima waliobaki wataisoma namba.

Kama ndio, hayo makampuni yanawezaje kuwa 'control' hao wafanyakazi wasiibe hivyo.??

Simple...zero tolerance policy!

Ukikamata mwizi chukua hatua kali.
 
Yaani ni kama ulikua kwenye akili yangu hapa nilipo nimeshamfukuza mfanyakazi kwa uzembe na kukosa uaminifu na mwingine nimempeleka police kwa wizi yani majority ya watanzania ni hopeless kabisa mtu unamtreat kama ndugu yako mpaka unamtatulia matatizo yake ya kifamilia mbali na mshahara lakini anarudi anakuibia au anachezea mahesabu kukutapeli.
 
Concern yangu ni hii:
Kwanini mfanyakazi/fundi asifanye kazi kwa weledi hadi asimamiwe kama mtoto?
Binafsi, nataka ifike wakati mtu unaachiwa mradi, unaufanya kuwa uaminifu na kukabidhi matokeo bila kuharibika au kuibiwa kitu.

Kiasili binadamu wengi hatuko waaminifu.

Hivi kuna sehemu hapa duniani ambapo hakuna miongozo inayosimamia shughuli za watu?
 
Huko Tanzania inatakiwa kuwe na miongozo mikali zaidi.
 
Back
Top Bottom