Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

Nyie mnautajiri gani? Attitude yenu ya kujiona wazungu weusi ilhali mizungu bado inawadharau imewafikisha wapi?
Tanzania is one of the poorest countries on the face of the planet.... be humble.
 
Mnajistukia tu na Mihemko yenu ya Kikenya plus inferiority Complex,
Nawajua Wahindi Kibao,
Waganda Kibao,
Wapakistan na Wachina Kibao walionyimwa working permits for same reasons, mtu amesoma diploma ya finance anakuja kufanya kazi Tz si ufala huo?
Kenyans mna midomo mikubwa na Mirefu kushinda hawa wote.
Mwisho wa Siku Kama unataka kufanya biashara Tanzania it's our terms and Condiotions, huwezi fungasha sepa. After all these are not serious investors aiming at exploiting, making profits and running away.
Kwahivyo kampuni za kimataifa nchini Tz ndio zinaajiri wakurugenzi ambao hawajahitimu. Kisha serikali yenu inawasaidia kutafuta watu wanaofaa? Kuelezwa kwamba muache unafik na mtangaze wazi msimamo wenu ndio unasema ni mihemko? Alafu nyinyi wenyewe ndio mnajistukia jombaa. https://www.jamiiforums.com/threads...afrika-wenzao-kutoka-mataifa-mengine.1813060/
 
Hio sheria ama sijui utaratibu lau kama wangekuwa wanaitumia uku Zanzibar, basi mahotelini kungekuwa na ma manager wazanzibari na watu wangekuwa na maisha mazuri.

Unakuta eti Assistant manager lazima aajiriwe mzungu, tena unaweza kuta hana knowledge ya hoteli management kabisa, wanaachwa wazawa.
 
Rejea kwenye ule uteuzi wa Vodacom, ambapo mkenya Sylvia Mulinge alikataliwa na kunyimwa vibali. Kisha mmisri, sio mtanzania, Hashim Hendi akakubaliwa awe mkurugenzi mpya kwa visingizio kama hivyo tu. Kwa ufupi ni Kenyaphobia ndio inatawala, sio upendo kwa wazawa wa Tz. Scenario kama hizo ndio huwa wanasema kwa kimombo, "you might think you are doing me but you are actually doing yourself."
Sasa kumbe majibu mnayo.
Lol!
 
Geza! What's really your problem?
Your minster of foreign affairs honorable kibudi has told the whole world ndagakinka is open for business.
The market start up for your kiti mtu products is available particularly around sambawanga area.Your cousin Chinese are ready to buy your juicey products.
 
Hio sheria ama sijui utaratibu lau kama wangekuwa wanaitumia uku Zanzibar, basi mahotelini kungekuwa na ma manager wazanzibari na watu wangekuwa na maisha mazuri.

Unakuta eti Assistant manager lazima aajiriwe mzungu, tena unaweza kuta hana knowledge ya hoteli management kabisa, wanaachwa wazawa.
Kwa nini usilifungue mada kadhaa kuhusu hilo, wasaidizi wa Rais H. Mwinyi wataupata ujumbe. Kumbuka wakati ameteuliwa kuwa mgombea alisema amejifunza jinsi ya kuongoza kwa kumuona Rais Magufuli anavyofanya, na kwa jinsi nilivyomuona akifuatilia mambo, ni dhahri alimaanisha.
 
Jiwe na genge lake wana xenophobia kali sana dhidi ya wakenya. Hadi imefikia hatua ya kuzipangia kampuni za kibinafsi, tena za kimataifa, kuhusu masuala ya uteuzi wa waajiriwa wao. Ila nilijifunza kutoka kwa ile sakata ya Vodacom na mkenya Sylvia Mulinge kwamba kwa Tz ya sasa ni baraka kubwa sana kwa wanaonyimwa vibali baada ya kuteuliwa. Maanake mmisri aliyechukua nafasi hiyo Vodacom alifunguliwa kesi ya kuhujumu uchumi muda mfupi tu baada ya kuanza kazi. Alafu baadaye tena Vodacom wakajipata matatani walipohusishwa na mikakati ya CCM ya kuinyanyasa upinzani kabla na wakati wa uchaguzi. Mwisho wa siku chuki zao zinawaumiza wao wenyewe, sio wakenya. Kwasababu maamuzi yao ya kibaguzi yanawatia hofu wawekezaji na kampuni kama hizo za kimataifa na yanashusha 'investor confidence' kwa nchi ya Tz.
Tutaruhusu raia wa nchi yoyote hapa duniani isipokua Kenya
 
Kwa taarifa yako HQ ya kampuni ya Coca Cola ukanda huu wa Afrika Mashariki na ya Kati ipo jijini Nairobi.
acha umama, Coca-cola kwanza ipo chini ya CCBA (Cocacola Bevarage Africa) makao yake makuu yapo SA ambao wanamilikiwa na Coca-cola wenyewe from Atlanta USA, CCBA inamatawi mengi sana across Africa ikiwemo NBL na nyinginezo hapo kwenu, na zote zinareport SA sio Nairobi . Wengine wote wanao produce coca hao tunawaita bottlers ambao wananunua tu patent rights za production, huku kwetu kuna Bonite bottlers na Nyanza bottlers, hawa hawana HQ nchi yoyote yani ni franchisers tu. Sasa usijishebedue eti nyie ndo HQ, mxiuuu.
 
Unaumwa, HQ za Coca Cola ukanda wa Afrika Mashariki, ya Kati na Magharibi pia(nchi kumi na nne ikiwemo Tz) zipo Nairobi. Walizihamisha mwaka uliopita kutoka sehemu moja jijini Nairobi, Upperhill, hadi Lavington. MD wa kitengo cha Tz huwa anareport kwa Regional HQ, Nairobi. Ikikuuma sana kunywa sumu jombaa. Coca-Cola to sell Nairobi regional headquarters facility, relocates to new office
 
Back
Top Bottom