MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,703
- 48,517
Ona kwenye hii picha mlivyochorwa kwa alama nyekundu kwamba ukanda huu wa EAC ni nyie tu mnatakiwa mpimwe corona ndani ya masaa 96 na pia mpimwe mara mbili, moja kwenu na nyingine huko UAE kabla kuingia, hamjiulizi mbona dunia inawatenga licha ya kujiaminisha mumepona corona kimiujiza.
Sisi mnatupigia makelele na kulialia ila ndio ukwel huo, dunia imewashangaa mlivyojichokea kwa hili la corona na kuachia kila mmoja ahangaike kivyake, aidha ajifie au apone.
Natumai serikali yetu itaweka mkakati wa kuhakikisha hamuingii huku bila kupimwa, kama ilivyo pale mpakani, na lazima mpimwe na wataalam wetu msje na vyeti vya kufoji huko Kariokoo, maana mnang'ang'ania sana kuja.