Nimekwisha kueleza, sasa kama hutaki kuelewa hilo si shauri langu tena.Na wewe ni nini kinachokuweka kwa Tundu na Heche?
Kama umeandikiwa dozi ya Mirembe jitahidi uwe unamalizaHawa jamaa wametumwa na kanisa tu kuvuruga utulivu
Una matatizo makubwa ya akiliSifa kubwa ya mwanamke muislam ni hijab. Jee anavaa?
Akili ndogo ikauwa viwanda vyote vya nguo Ili mvae majasho ya wazungu sio?Mtahama dar?..kuna mwenzenu alitawala robo karne,tukaishia viraka tupu makalioni
Matajiri wenye ASILI ya kitanzania wako wangapiMuulize Matajiri wakubwa wote wa Tanzania ni waupande gani?
Si ushasema ni kanisaSasa kufungwa kwa kanisa la Gwajima ndiyo useme Wakristu wanakandamizwa?
Ujinga ni kuua viwanda vya nguo alivyoanzisha Ili mnunue mitumba sioMnateteaga ujinga wa huyo mzee!
Vilikufa kwenye utawala upiWe unafikiri kiwanda hufa ghafla kama mbu kapuliziwa rungu?..hivyo vilikuwepo na watu walitembea ucchi nguo hakuna,mahitaji muhimu hayakuwepo
Hakuna mtu asiye na ujinga,na ujamaa ulikua ujinga
Hivyo viwanda yeye mwenyewe yupo na havikukidhi haja kwa low efficiencyUjinga ni kuua viwanda vya nguo alivyoanzisha Ili mnunue mitumba sio
Tukisema mna akili ndogo mnakasiririka,
Nikuulize huyo mwingine kama Kuna Cha maana amefanya zaidi ya kutuongezea deni la zaidi ya Trillion 50 Kwa miaka mitano tu ?
Vilimfia mwenyewe, wengine walikuta mwili wa marehem bado una jotoVilikufa kwenye utawala upi
Tanzania hakuna GMO foodsVibonge na vitambi ni kwa sababu ya GMO food sio hizo mambo ya kutembea kwa miguu wala nini Nchi za kibepari si tunao majirani zetu wa Kenya pale tunaona wanavyosota asilimia kubwa ya ardhi ni ya watu wachache sana maisha yapo juu na kupata hiyo hela ya kuendesha life sio mchezo..
Kapime akiliVilimfia mwenyewe, wengine walikuta mwili wa marehem bado una joto
Wenye akili fupi wakaona waagize mitumba iliyovaliwa na wazungu kuliko kuendelezaHivyo viwanda yeye mwenyewe yupo na havikukidhi haja kwa low efficiency
Mitumba tangu 1970s ipoWenye akili fupi wakaona waagize mitumba iliyovaliwa na wazungu kuliko kuendeleza
Mkapa aliwapa bandari TICTS kwa miaka 25 hamkupiga kelele,si nyinyi waamini wala wavaa majoho wapiga punyetoHuyo aliyekopa trillion 50 Kwa miaka mitano huku akikabidhi waarabu
Huwezi kuona cha maana alichofanya sababu hutafuti alichofanyabandari nini amefanya Cha maana ???
Tukisema Kuna tatizo upstairs mnaelewa ?
Viwanda vilijifia vyenyewe,wasomi wa Nyerere walishindwa kuendesha mashirika ya ummaKapime akili
Kwa hiyo mkaamua kuzika viwanda vya nguo mvae majasho ya wazungu ndo akili hizo
Kazi ya kuwaandalia masheikh ubwabwaHawa jamaa wametumwa na kanisa tu kuvuruga utulivu
Zipo kibao hayo mahindi yenyewe mbegu zake ni jamii hizo hizo ukivuna hayo mahindi hauwezi kutunza mbegu mpaka ukanunue kwao mbegu zingine tena kila mwaka miaka ya nyuma haikua hivi..Tanzania hakuna GMO foods
Tanzania hakuna GMO na haziruhusiwi kisheria,miaka ya 90 tulikua tukipanda Cargill mbegu za mahindi,ungechukua Hindi lake ufanye mbegu basi udingepata kitu lakini haikua GMOZipo kibao hayo mahindi yenyewe mbegu zake ni jamii hizo hizo ukivuna hayo mahindi hauwezi kutunza mbegu mpaka ukanunue kwao mbegu zingine tena kila mwaka miaka ya nyuma haikua hivi..
Tukiweza kununua apple,machungwa na matakataka mengine kutoka Zimbabwe na SA jua wanatuletea GMO foods..