Watanzania majembe wanaommaliza Samia huko US

Mange naye katumwa na kanisa? Natamani hii nchi igawanywe mpewe yenu na manaswara wapewe yao tuwatenge kwa ukuta kama ule wa Israel vs Palestina, then baada ya miaka 5 tuangalie nani atakuwa anataka kuhamia kwa mwenzake.
Ndo unavyodanganywa uko kanisani? Maendeleo makubwa yote yapo mikoa ya Pwani Yan dar es salaam, Zanzibar, Tanga Pwani

Embu tujitenge tuone mtafanya Nini? Au nanyinyi hapo uyole mnajiona wazungu kisa ni wakristo?
 
Dar mnaishi Tandika, Mbagala, Kisemvule. Ndiko mlikojazana. Mna maendeleo gani? Au unadhani kina Mo na Azam ni wenzenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…