Watanzania kwanini tunakubali Rais wetu adhalilishwe na media za nje kwa kuitwa "The 'Bulldozer' Tanzanian President"?

bull·doz·er
ˈbo͝olˌdōzər/
noun
noun: bulldozer; plural noun: bulldozers
  1. a powerful tractor with a broad upright blade at the front for clearing ground.
    • a person or group exercising irresistible power, especially in disposing of obstacles or opposition.
      "he was a political bulldozer"
Ni hayo Paskali homeboy! Nitafutie kazi rafiki

Pascal hivi upo serious au unatana?! Mwenyewe anapenda na anajiita huo mjina!!
 
Lakini hili si tulilianzisha sisi wenyewe vyombo vyetu vya habari vilimuita TingaTinga.

Baadhi ya wanaCCM wakampigia kampeni kwa kusema tuchague TingaTinga lisafishe mafisadi.

MI NAZANI WAMEIGA KWETU mkuu PASCO.

Kama siko sahihi ruksa kunisahihisha.

TUANZIE NYUMBANI MKUU ili wajue tuna msimamo gan na Raisi wetu.
 
GADO BWANA! NI KAMA MASOUD KIPANYA SIJUI HUWA WANAWAZA NINI HAWA JAMAA!!!
GADO-PICHA.jpg
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la wito kwa Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa letu, kwa nini tunakubali rais wetu Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, adhalilishwe na Media za Nje kwa kuitwa The 'Bulldozer' Tanzanian President!, na sisi tunakubali na kunyamaza tuu?! huku Kurugenzi yetu ya Mawasiliano Ikulu ipo?, Idara yetu ya Habari Maelezo ipo?, Waziri wetu wa Habari yupo?.

Soma hii
Dangote accuses 'Bulldozer' Tanzanian president of scaring away ...
What does this statement kuachwa tuu bila kukanushwa, mean to Tanzania investment climate?.
Na hii sio mara ya kwanza kwa rais Magufuli kuitwa hivi, aliwahi kuitwa hivi
John Magufuli - Tanzania's 'Bulldozer' president in profile - BBC News
Tanzania's new president, 'The Bulldozer' Magufuli » Capital News
Tanzania: Tension Between Tanzania's 'Bulldozer' President and ...
Tanzania's bulldozer president takes on London miner - Financial Times
Tanzania's President John Magufuli: The bulldozer crushing ...
Behind Tanzania's President John 'The Bulldozer' Magufuli's mining ...
Tanzania's new president, 'The Bulldozer' Magufuli - Nairobi News

Kwa nini rais wetu, asemwe vibaya na sisi tupo, tunakubali na huku tumenyaza tuu?!. Kurugenzi yetu ya Mawasiliano si ipo?, kwa nini inakubali na kukaa kimya?!,
Idara yetu ya Habari Maelezo si ipo?, kwa nini inakubali na kukaa kimya?!.
Waziri wetu wa Habari si yupo?, kwa nini anakubali na kukaa kimya?!.

Swali msingi ni Jee ni kweli rais Magufuli ni The 'Bulldozer' Tanzanian president?!. Kama sii kweli, kwanini tunanyamaza tuu bila kukanusha, maana uongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, mwisho wake sio tuu utaonekana kama ni ukweli, bali mwisho wake hugeuka ni ukweli!.

Mimi naomba kujipambanua kuwa ni Mtanzania Mzalendo wa kweli kwenye media, na kwa mujibu wa fani yangu, kazi yangu na uwezo wangu ni kushauri tuu kwa kuandika au kusema au kutangaza.
  1. Rais wetu alipotuhumiwa kuhongwa suti nilipinga na kushauri.Tuhuma za Rais wetu kuhongwa suti: Marekani ituombe radhi ...
  2. Hata kelele kuhusu udikikiteta wa Magufuli ziliposhika kasi nilishauriUdikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka ...
  3. Magufuli aliposemwa vibaya na SABC, nilishauriSerikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu ...
  4. Rais Magufuli aliposemwa vibaya kuhusu Mimba za utotoni, pia nilishauriJe, Huku Sio Kudhalilishwa Kwa Rais Wetu na Media za Nje?. Jee ...
  5. Juzi kati hapa srikali yetu ilipoitwa Sinister na Authoritarian, pia nilishauri
    Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli ...
Na sasa hapa rais wetu anaposemwa vibaya, na kuitwa The 'Bulldozer' Tanzanian president!, nimeandika na kushauri tusikubali, tusikae kimya, tukanushe unless kama yanayosemwa kumhusu rais Magufuli ni kweli kuwa ni The 'Bulldozer' Tanzanian president, vinginevyo tukanushe.

Mungu ibariki Tanzania.

Paskali
That was our silent Language in swahili as Tingatinga. Orchestrated By the Former president JK During his presidential Campaign Rails. These Nicknames sometimes they Cross the Border It Will be Difficult to Reverse. I will Reserve my Comments on others, Like Pupils Early Pregnancies and Commands made By His excellency
 
Bwana Pascali mimi naona unajaribu kulikuza hili swala...!!

Hakuna asiyekumbuka wakati wa uzinduzi wa Kampeni (kama sijakosea) wakati huo Mgombea Uraisi JPM alipo jifananisha na Tingatinga (nadhani ndio Bulldorzer kwa lugha ya kigeni...!!

Swali la kujiuliza ni je..!? Bwana Pascali amehisi hili ndilo jina baya kuwahi kuitwa Raisi wetu wa Nchi...!!

Mbona hukuwahi kufanya kampeni kama hii pale Mtukufu alipoitwa Dikteta Uchwara tena na Raia mzalendo..!?

Hii si kama kuwaamsha hata wale waliokuwa hawajui Raisi kaitwa Tingatinga...!?

Naomba bwana Pascal usitafute umaarufu kupitia hili, acha taasisi/wizara husika zifanye kazi yake..

Tusifundishane kazi ...
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la wito kwa Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa letu, kwa nini tunakubali rais wetu Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, adhalilishwe na Media za Nje kwa kuitwa The 'Bulldozer' Tanzanian President!, na sisi tunakubali na kunyamaza tuu?! huku Kurugenzi yetu ya Mawasiliano Ikulu ipo?, Idara yetu ya Habari Maelezo ipo?, Waziri wetu wa Habari yupo?.

Soma hii
Dangote accuses 'Bulldozer' Tanzanian president of scaring away ...
What does this statement kuachwa tuu bila kukanushwa, mean to Tanzania investment climate?.
Na hii sio mara ya kwanza kwa rais Magufuli kuitwa hivi, aliwahi kuitwa hivi
John Magufuli - Tanzania's 'Bulldozer' president in profile - BBC News
Tanzania's new president, 'The Bulldozer' Magufuli » Capital News
Tanzania: Tension Between Tanzania's 'Bulldozer' President and ...
Tanzania's bulldozer president takes on London miner - Financial Times
Tanzania's President John Magufuli: The bulldozer crushing ...
Behind Tanzania's President John 'The Bulldozer' Magufuli's mining ...
Tanzania's new president, 'The Bulldozer' Magufuli - Nairobi News

Kwa nini rais wetu, asemwe vibaya na sisi tupo, tunakubali na huku tumenyaza tuu?!. Kurugenzi yetu ya Mawasiliano si ipo?, kwa nini inakubali na kukaa kimya?!,
Idara yetu ya Habari Maelezo si ipo?, kwa nini inakubali na kukaa kimya?!.
Waziri wetu wa Habari si yupo?, kwa nini anakubali na kukaa kimya?!.

Swali msingi ni Jee ni kweli rais Magufuli ni The 'Bulldozer' Tanzanian president?!. Kama sii kweli, kwanini tunanyamaza tuu bila kukanusha, maana uongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, mwisho wake sio tuu utaonekana kama ni ukweli, bali mwisho wake hugeuka ni ukweli!.

Mimi naomba kujipambanua kuwa ni Mtanzania Mzalendo wa kweli kwenye media, na kwa mujibu wa fani yangu, kazi yangu na uwezo wangu ni kushauri tuu kwa kuandika au kusema au kutangaza.
  1. Rais wetu alipotuhumiwa kuhongwa suti nilipinga na kushauri.Tuhuma za Rais wetu kuhongwa suti: Marekani ituombe radhi ...
  2. Hata kelele kuhusu udikikiteta wa Magufuli ziliposhika kasi nilishauriUdikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka ...
  3. Magufuli aliposemwa vibaya na SABC, nilishauriSerikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu ...
  4. Rais Magufuli aliposemwa vibaya kuhusu Mimba za utotoni, pia nilishauriJe, Huku Sio Kudhalilishwa Kwa Rais Wetu na Media za Nje?. Jee ...
  5. Juzi kati hapa srikali yetu ilipoitwa Sinister na Authoritarian, pia nilishauri
    Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli ...
Na sasa hapa rais wetu anaposemwa vibaya, na kuitwa The 'Bulldozer' Tanzanian president!, nimeandika na kushauri tusikubali, tusikae kimya, tukanushe unless kama yanayosemwa kumhusu rais Magufuli ni kweli kuwa ni The 'Bulldozer' Tanzanian president, vinginevyo tukanushe.

Mungu ibariki Tanzania.

Paskali
Bulldozer = Tingatinga

Mayalla vipi mkuu. Mbona hilo jina tulilitumia sana kwenye kampeni. Au kwakua limeandikwa kwa kiingereza?
 
Mkuu, unaonaje ukiwaburuza mahakamani?
 
Mi nakumbuka Kikwete ndiye aliye mbatiza hili jina "Tingatinga aka Bulldozer!!

Kikwete alisema, nimewaletea Tingatinga, linakuja kung'oa visiki vyote.

Tusihangaike na media za nje kumwita Magufuli hili jina
 
Back
Top Bottom