kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,447
Tumshukuru kwa kuokoa afya zenu!Inaelekea wewe hujatii agizo la waziri Mkuu kuacha kutumia viroba
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Tukishasema haturudii maneno!Unasema?
Usiogope mkuu daima unafiki mwiko!mkuu labda uwe usalama wa taifa lakini hao uliowataja sijui kama utapona!
Uko sahihi kabisa mkuu, hii nchi "wahuni" wengi sana. Watu wanatafuta umaarufu kwa njia za kijinga kabisa. Wanajiteka wenyewe na kujirudisha. Kila msanii sasa hivi amekuwa "muigizaji".Habari ya jumapili
Nashukuru kuwa na jukwaa hili adhimu la jf
Wengi wetu tumekuwa waoga wa kusema ukweli hata kama ubaya unauona na unashindwa kukemea .
Nirudi kwenye hoja ni kuwa tanzania tumekuwa ni watu wa kuchezeana akili kufurahisha mabwana zetu na kutafuta kiki
Zaidi kivyama na kufurahisha wakubwa watu huogopa kusema ukweli hapa jf kisa mada itakosa wachangiaji
Ni ujinga au nitaonekana ni chadema au ccm,nirudi sasa miaka hii kumekuwa na matukio ya kijinga watu kujipoteza kwa makusudi kwa masilahi yao na watu wao
Nikiri kuna wengine ni kweli kama ulimboka lakini waliobaki huwa ni drama tunaanza 2016 zitto alipotea taarifa zikatolewa nyingi tu mara akarudi na hakusema alikuwa wapi,sosopi,ben,roma na kituko chengine ni kile cha juzi wenye ufahamu mdogo wameshindwa kuelewa kuwa azam walituchezea akili kutuonyesha kuwa mabaharia wao wapo makini katika uokoaji
Mtu ajitupe baharini alafu aelee bila kunywa maji kwa taarifa yenu yule msichana ile aina ya ulalaji kwenye maji si watu wote wenye kuweza ukijaribu wewe utazama kama jiwe
Hivi sasa naomba serikali kukutokea jambo la kipuuzi wasi site kuwachukulia hatua wahusika,kuna mwaandishi wa habar wa dw nae pia alijiteka
Tusiwe wapofu,msichezee kutekwa ,mtu unarudi ukiwa na hali nzuri haya tupeni mrejesho mpo kimya!
poleni kwa mliojipoteza na kutuchezea akili.
Msema kweli daima!
Jambo la kwanza muangalie ni nani alieleta taarifa za mtu kutekwa unganisha dots tumeishi inchi za wenye kazi hizo kila siku anatekwa mtu mmoja lakini si kihivi!Uko sahihi kabisa mkuu, hii nchi "wahuni" wengi sana. Watu wanatafuta umaarufu kwa njia za kijinga kabisa. Wanajiteka wenyewe na kujirudisha. Kila msanii sasa hivi amekuwa "muigizaji".
ROMA ana nini mpaka atekwe?
Ukitaja wasanii kumi bora hapa Tanzania ROMA hayupo.
Ndio maana osterbay pia hawakutaka data!Dogo, siku nyingine ukitaka kuanzisha thread, jaribu kukusanya ushahidi wa kutosha la sivyo utakuwa unatuchezea akili.
Maisha yanakwenda kasi elimu dunia dhidi ya wafu!Lkn kweli kwa nn Yule dada alikuwa anaelea, au alikuwa ameshakufa kama muamba wataalamu wa uogeleaji kujen hapa
Yule WA kujitosa baharini kidogo umenidaka, Ila kuhusu issue ya Roma na wenzake bado sijakuelewa kabisa mkuuHabari ya jumapili
Nashukuru kuwa na jukwaa hili adhimu la jf
Wengi wetu tumekuwa waoga wa kusema ukweli hata kama ubaya unauona na unashindwa kukemea .
Nirudi kwenye hoja ni kuwa tanzania tumekuwa ni watu wa kuchezeana akili kufurahisha mabwana zetu na kutafuta kiki
Zaidi kivyama na kufurahisha wakubwa watu huogopa kusema ukweli hapa jf kisa mada itakosa wachangiaji
Ni ujinga au nitaonekana ni chadema au ccm,nirudi sasa miaka hii kumekuwa na matukio ya kijinga watu kujipoteza kwa makusudi kwa masilahi yao na watu wao
Nikiri kuna wengine ni kweli kama ulimboka lakini waliobaki huwa ni drama tunaanza 2016 zitto alipotea taarifa zikatolewa nyingi tu mara akarudi na hakusema alikuwa wapi,sosopi,ben,roma na kituko chengine ni kile cha juzi wenye ufahamu mdogo wameshindwa kuelewa kuwa azam walituchezea akili kutuonyesha kuwa mabaharia wao wapo makini katika uokoaji
Mtu ajitupe baharini alafu aelee bila kunywa maji kwa taarifa yenu yule msichana ile aina ya ulalaji kwenye maji si watu wote wenye kuweza ukijaribu wewe utazama kama jiwe
Hivi sasa naomba serikali kukutokea jambo la kipuuzi wasi site kuwachukulia hatua wahusika,kuna mwaandishi wa habar wa dw nae pia alijiteka
Tusiwe wapofu,msichezee kutekwa ,mtu unarudi ukiwa na hali nzuri haya tupeni mrejesho mpo kimya!
poleni kwa mliojipoteza na kutuchezea akili.
Msema kweli daima!
Mkuu huwezi kunielewa mkuu ni kama mfuasi wa nguvu za giza hata ukimwambia hakuna misukule hawezi kukuelewa!Yule WA kujitosa baharini kidogo umenidaka, Ila kuhusu issue ya Roma na wenzake bado sijakuelewa kabisa mkuu
Hapo hata mm kanigusa. Kwa kawaida maiti ndiyo huelea.Lkn kweli kwa nn Yule dada alikuwa anaelea, au alikuwa ameshakufa kama muamba wataalamu wa uogeleaji kujen hapa