Watanzania kwa kuiga kiboko yaoooooooooooo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
kipanya_06_-_06_-_2012_20120608_1156391656.jpg
 
Hii ni kali lol!
Mkuu wewe huna Wanafunzi kama hao wanaotembea Uchi? samahani............ gfsonwin

Kama ni hivyo, bora watembee uchi tu, miguu inafichwa, ina nini cha kusetiriwa zaidi ya vile vilivyo juu, kama vya juu vinaweza kuachwa wazi hadharani, bora suruali yote uvuliwe kabisaaa
Mkuu ni kweli kwanini wanaficha miguu wakati huku kwenye kiuno hawafichi? bora watembee bila ya kuvaa nguo itakuwa jambo zuri kuliko kutembea huku suruali imeshuka kwenye kiuno utafikiri vikojozi haahahah..... Doreen22
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu hawa wapo ila siyo siri huwa kwangu wanakula bakora tu, sitaki ujinga wa kihuni bana. shule ina heshima yake mkuu
 
Last edited by a moderator:
Utakuwa unawapiga siku zote mkuu.... gfsonwin

hii kwangu mimi haina mjadala nikikuchapa mara mbili inatosha hujarekebika nenda home kwenu kakae na mzazi hadi ujue kuvaaa vizuri kisha ndio urudi tena ukiwa na mzazi husika. hapana kudekeza hii mitoto ya fb na twitter ni matatizo makubwa kweli. wengi huwa wanarekebika kwa mtindo huu shuleni kwangu.
 
Natabiri Mwaka 2010 na mwaka 2020 itakuwa hivi Mnasemaje Wa Tanzania kwa kuiga mwishooooooooooooooooo


attachment.php
 

Attachments

  • 576178_294618323951105_100002088208370_710525_1990856597_n.jpg
    576178_294618323951105_100002088208370_710525_1990856597_n.jpg
    26.4 KB · Views: 271

Similar Discussions

Back
Top Bottom