Watanzania kurudishwa nyumbani

kakolo

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
387
309
Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Uingereza ubalozi wa Tanzania umeamua kuwarudisha watanzania wote nyumbani. Itasaidia kurudisha raia na mali zao. watanzania wote mnatakiwa kuwasiliana na ubalozi wenu haraka sana.
 
Sirudi katu
No way!!!
Nani arudi gizani na kutmbea ni kwa kwenda mbele, nasikia hakuna kitu kina move!
Nawatakia giza jema
 
Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Uingereza ubalozi wa Tanzania umeamua kuwarudisha watanzania wote nyumbani. Itasaidia kurudisha raia na mali zao. watanzania wote mnatakiwa kuwasiliana na ubalozi wenu haraka sana.

Hakuna wa kurudi, nchi gani tajiri yenye watu masikini!
 
sasa inawarudisha waje kufanya Maandamano ya Mkum'goa Fisadi Kikwete au kwa mpango gani?
 
Hawawezi kurudi hao washazoea kubeba mabox na kuoa vibibi vizee huko. Wabongo ni sisi tu tulioenda na tulipomaliza tu shule tukarudi kesho yake.
 
Kama hamna cha kuwarudisha na maisha yenu yanakwenda na mnapata rizki, basi nawashauri mjikalie huko huko. Huku bongo jamani jua kali, yaani ni Third world ya ukweli na sio utani. Maisha magumu. Giza ni totoro, maji ya mgawo, samaki wa mionzi, gas stations hazina mafuta, foleni za kufa mtu kwenye ATM na hadi barabarani, benki zinatunyanyasa na huduma za dharau, kampuni za simu ndio zinatunyonya damu kuliko. Mtadata tuachieni wenyewe
 
Back
Top Bottom