WATANZANIA KOSA KUBWA NA MH.NAPE MPAKA KUTUMBULIWA?

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Watanzania wenzangu mpaka sasa sijajua Mh.Nape Nnauye ametumbuliwa Uwaziri wa Habari Kwa kosa gani alilolitenda.Najua hivi karibuni Mkuu wa Mko wa DSM Bw.Makonda alivamia kituo cha Clouds FM akiwa Na askari wenye silaha.Waziri Nape akaunda Tume.Pia Mh.Nape alikuwa afanye mkutano Na waandishi wa habari akazuiliwa .Sasa ñajiuliza ni kosa gani ambalo Mh.Nape amelitenda mpaka kufukuzwa Kazi?
 
Back
Top Bottom