Watanzania kimpira nani katuloga???

MIDFIELD

JF-Expert Member
May 27, 2013
1,944
701
Hivi Tanzania kimpira tumelogwa na nani???? Hata Somalia inatuhangaisha! Vijana wetu wa kileo nini wanachokikosa kinachowafanya washindwe kucheza kandanda lenye akili??? Kina Mrisho Ngasa na wenzake yaani wanacheza makidamakida mle ndani.Wasomali waliopo vitani kwa zaidi ya miaka 20 wanacheza mpira unaonekana. Samahani lakini hili sio jukwaa la michezo.

Karibuni wadau tujadili
 
Ngassa mbio tu, ukiziba njia zake hamna kitu. Poulsen amuingize Msuva
 
Ngassa mbio tu, ukiziba njia zake hamna kitu. Poulsen amuingize Msuva

Kwa kweli hawa vijana mimi wananiumiza sana maana mpira naupenda. Yaani kwa Tanzania mtu asiyependa mpira ni bora kabisa, maana hawezi umizwa na hawa vijana wetu. Ngasa alishaanza picha za ngono tu
 
Hakuna alietuloga sema funguo zetu za ushindi zilikuwa mbili,moja kuna mzee aliimeza na kufa siku nyingi,iliyobaki kuna mtu aliitupia baharini,ndo tunahangaika kuitafuta iyo ya baharini angalau kuna matumaini
 
Aliyetuloga ni CCM. Kidumu chama cha Mapinduzi!

Lakini CCM mwenyekiti wao anapenda sana mpira ila wanamwangusha sana. Au Chadema ndo wanatuloga?? Lakini najua Cdm wanapenda michezo
 
Hakuna alietuloga sema funguo zetu za ushindi zilikuwa mbili,moja kuna mzee aliimeza na kufa siku nyingi,iliyobaki kuna mtu aliitupia baharini,ndo tunahangaika kuitafuta iyo ya baharini angalau kuna matumaini

Mmmmh na kweli. Maana siku hizi kuna kila kitu, sasa kinachowashinda kucheza sijui nini. Angalau wamebahatisha kagoli kamoja. Kwa ilivyo Somalia ilitakiwa tuwapige goli si chini ya tano
 
Mi nilisha acaha kufuatilia mechi za Taifa stars kwani ni kujitafutia ugonjwa wa moyo tuu.
 
Mi nilisha acaha kufuatilia mechi za Taifa stars kwani ni kujitafutia ugonjwa wa moyo tuu.

Upo sahihi kabisa, kwa sababu kushabikia mpira malengo ili uburudike, sasa kama kila leo unaondoka umenuna si ndo mwanzo wa kuzeeshana mapema au kuleteana magonjwa ya moyo
 
Heh, kilimo sijui kwanza, mmeshindwa, utalii, mnagawa na kuiba Twiga huku mkifanya magendo ya pembe za ndovu, uchumi mmewaachia wachina tena wafungwa, ufugaji ndo kila kukicha vita ya wakulima na wafugaji, ubondia ndo Cheka anapigania mkanda usotambulika, madini ndo Kenya ya kwanza kuuza TANZANITE duniani, soka ndo kwanza hata wimbo wa taifa wachezaji hawawezi hata kuuimba. Siasa, kila kukicha ni Chadema vs CCM........., tena majukwaani na mtandaoni, mtaweza nini nyie?

# teamentreprenur
 
Heh, kilimo sijui kwanza, mmeshindwa, utalii, mnagawa na kuiba Twiga huku mkifanya magendo ya pembe za ndovu, uchumi mmewaachia wachina tena wafungwa, ufugaji ndo kila kukicha vita ya wakulima na wafugaji, ubondia ndo Cheka anapigania mkanda usotambulika, madini ndo Kenya ya kwanza kuuza TANZANITE duniani, soka ndo kwanza hata
wimbo wa taifa wachezaji hawawezi hata kuuimba. Siasa,
kila kukicha ni Chadema vs CCM........., tena majukwaani na
mtandaoni, mtaweza nini nyie?
# teamentreprenur

Kuna makala nimewahi kuiona hapa JF imeandikwa na somebody Kumwembe ningependa mtu aiweke hapa ili ndugu yangu @MIDFIED aisome.

Twalalamikia mpira kwani tumefanikiwa katika lipi? Je kila mtu ametimiza wajibu wake kufanikisha siku Tanzania iwe na timu bora au ndo lawama tu kwa huyo Ngassa na wenzake?
 
Hivi Tanzania kimpira tumelogwa na nani???? Hata Somalia inatuhangaisha! Vijana wetu wa kileo nini wanachokikosa kinachowafanya washindwe kucheza kandanda lenye akili??? Kina Mrisho Ngasa na wenzake yaani wanacheza makidamakida mle ndani.Wasomali waliopo vitani kwa zaidi ya miaka 20 wanacheza mpira unaonekana. Samahani lakini hili sio jukwaa la michezo.

Karibuni wadau tujadili

usiumie roho ndugu! Fani yetu ni mbunye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom