Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Website ya WIZARA YA MAMBO YA NJE haina travel advice
Rais yuko Ngorongoro anatazama wanyama
Waziri mkuu yuko bize ana entertain wageni weekend kwake
Waziri Membe hajulikani aliko
Media Tanza, kama kawaida wanashinda JF kutafuta news on
Balozi wa Tanzania Kenya naye inaonekana hana muda
Serikali yetu tjufu once agian kama ilivyowaTELEKEZA wanafunzi wetu kule UKRAINE, na sasa imewatelekeza ndugu zetu huko KENYA
Hii ni fundisho kwenu. Mjue kuwa ukiwa nje basi SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA haitokuwa na habari na wewe after all mnategemea nini kama serikali ilikuwa haina habari na wewe ulipokuwa ndani ya Tanzania
Infact serikali yetu na ZIMA MOTO hawa hawana tofauti
Msimamo wa Serikali Kuhusu Watanzania waliokwama Kenya.
Watanzania hao walijigharimia wenyewe kwenda Kenya na walikwenda huko kwa sababu zao wenyewe na serikali iliwakataza wasiende lakini hawakusikia. Wale waliosikia walirudi nyumbani na hawakupatwa matatizo yoyote. Wale walioko Kenya wasiidhalilishe nchi yetu kwa kuomba misaada kwenye ofisi za mataifa ya kigeni bali wawaombe ndugu zao ili wawasaidie. Endapo serikali italazimika kuwasaidia itawasaidia kwa mkopo ambao watatakiwa walipie miezi sita baada ya kurudi nchini. Vinginevyo, serikali haiwajibiki kwa namna yoyote na yale yanayowakuta.
Imetolewa na
Naibu Katibu Mkuu
Kuna rubani wa JWTZ aliyeanguka na helikopta alipelekwa kwa matibabu nairobi, sina uhakika kama aliruhusiwa kabla ya vurugu.
Website ya WIZARA YA MAMBO YA NJE haina travel advice ...Serikali yetu tukufu once agian kama ilivyowaTELEKEZA wanafunzi wetu kule UKRAINE, na sasa imewatelekeza ndugu zetu huko KENYA
Hii ni fundisho kwenu. Mjue kuwa ukiwa nje basi SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA haitokuwa na habari na wewe after all mnategemea nini kama serikali ilikuwa haina habari na wewe ulipokuwa ndani ya Tanzania
Ndiyo Tanzania hiyo! na kama hupendi watakwambia urudishe ganda lao. Nakumbuka wakati fulani wa-China walikuwa wanatembeza kipigo kwa waafika, bila kujali nini wala nini. nakumbuka JJ Rawlings (Ghana) alitoa ndege ili kwenda kuwachukua wa Ghana wenzake huko, na akasema pia waafrika wa nchi zingine ambao nchi zao zitakuwa zimewatelekza. Cha ajabu ni kuwa Tz ilitoa tamko rasmi la kiserikali ati hizo fujo siyo za watanzania na haitotuma msaada wa aina yeyote, na mtannzania atakayefahimika amejiingiza kwenye hayo maugomvi atachukuliwa hatua, kwani wa china na waTz ni marafiki sana.