Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 843
Website ya WIZARA YA MAMBO YA NJE haina travel advice
Rais yuko Ngorongoro anatazama wanyama
Waziri mkuu yuko bize ana entertain wageni weekend kwake
Waziri Membe hajulikani aliko
Media Tanza, kama kawaida wanashinda JF kutafuta news on
Balozi wa Tanzania Kenya naye inaonekana hana muda
Serikali yetu tjufu once agian kama ilivyowaTELEKEZA wanafunzi wetu kule UKRAINE, na sasa imewatelekeza ndugu zetu huko KENYA
Hii ni fundisho kwenu. Mjue kuwa ukiwa nje basi SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA haitokuwa na habari na wewe after all mnategemea nini kama serikali ilikuwa haina habari na wewe ulipokuwa ndani ya Tanzania
Infact serikali yetu na ZIMA MOTO hawa hawana tofauti