Watanzania hawataki maridhiano na viongozi, wanataka viongozi waliowaridhia

Watanzania hawataki maridhiano na viongozi, wanataka viongozi waliowaridhia

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,236
Kataa wahuni.
1. Maridhiano ni tume ya uchaguzi itakayokua inatenda haki na ikiongozwa na wtu wenye akili timamu sio makada wa mbogamboga
2. Wahuni walio kwapua madaraka kwa hila waachie ngazi.
3. Kufuta uchaguzi uliofanyika na matokeo yake kutotambulika katika rekodi,
4. Kufanyika uchaguzi wa huru na haki.
5. Baada ya hapo tutataka kujua nani aliua ndugu zetu.

Kinyume na hapo ni uhuni tu.
 
Unataka kufanya maridhiano na nani, wakati umewekwa kwenye kiti cha enzi na wahuni wachache badala ya wananchi wenye nchi yao!!
 
Watanzania wa wapi ambao hawataki maridhiano be specific.
Kuna Wana CCM zaidi ya mil. 40 nchi hii unasemea watanzania wa wapi.
Mkiambia hamna akili mnaanza kutoa mapovu.
 
Back
Top Bottom