Watanzania hatutaki Rais Fisadi

Watanzania hatutaki Rais Fisadi

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
12027738_1026416174045318_465370499838258110_n.jpg

12027543_1026416060711996_3073046456672668995_n.jpg

Mtakumbuka hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amenukuliwa akisema kuwa chama hicho kina wafadhili watano ambao hatawataja hadharani kwa kuhofia vyombo vya dola kuwafuatilia. Binafsi nilishtushwa sana na kauli hii ya Mbowe na nilijawa na shauku ya kujua ni akina nani hao na kama wanasaidia chama kwa good faith, iweje wafuatiliwe na vyombo vya dola? Mbona Mustapha Sabodo amekuwa akikisaidia chama hicho hadharani na wala hajawahi kuguswa na vyombo hivyo?
 
Loooo nimeshtuka tu hapo chini kwa kiongozi wa dini!!! ngoja wakufuate wenyewe utajuta kuweka picha yeke!
 
12027738_1026416174045318_465370499838258110_n.jpg

12027543_1026416060711996_3073046456672668995_n.jpg

Mtakumbuka hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amenukuliwa akisema kuwa chama hicho kina wafadhili watano ambao hatawataja hadharani kwa kuhofia vyombo vya dola kuwafuatilia. Binafsi nilishtushwa sana na kauli hii ya Mbowe na nilijawa na shauku ya kujua ni akina nani hao na kama wanasaidia chama kwa good faith, iweje wafuatiliwe na vyombo vya dola? Mbona Mustapha Sabodo amekuwa akikisaidia chama hicho hadharani na wala hajawahi kuguswa na vyombo hivyo?

1443099471050.jpg pathetic kuweka picha kama hii, isome tena uone huo uandishi... Huyu hajitambui wewe ndio kabisaa
 
Hiyo title haijanibariki sema wewe ndo humtaki huyo fisadi wako. Hebu weka bayana ufisadi wake unaweza ukanishawishi nimpe nusu kura yangu but ukibabahisha anapata yoteee.
 
Mr.Chin taasisi fisadi inazaa mafisadi CCM fisadi unategemea Rais atakuwa msafi?Kwa taarifa yako hakuna MSAFI ndani ya CCM hilo wana CCM wote wanalijua mkuu
 
Baraka zinatoka kwa Mungu na sio Fisadi.
 
Mr.Chin taasisi fisadi inazaa mafisadi CCM fisadi unategemea Rais atakuwa msafi?Kwa taarifa yako hakuna MSAFI ndani ya CCM hilo wana CCM wote wanalijua mkuu
You are once again wrong. The dude who can't walk is a Fisadi. Nimekuwekea na picha uone jinsi anavyo gawa fedha za ufisadi.
 
For real, hatuchagui fisadi. Hatuchagui mtu ambae tayari keshachoka kimwili na kisiasa... let him rest, aende tu monduli akapumzike...ale pensheni na uzee wake!!
 
naomba kuuliza ni nani aliyekaa ikulu akatoka bila kufisadi nchi kumtoa nyerere naomba jibu
 
Back
Top Bottom