Watanzania hatuitaki the ICC THE HAGUE!

Papa D

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
753
182
Hii mahakama ya makosa ya kivita huko the Hague naiona imeundwa kutudhalilisha Waafrika na wala haina malengo memo kwetu. Serikali yetu isijiingize kwenye huo mtego wa ukoloni-beberu!!
wana JF mna maoni gani kuhusu hili?
 
mmmm fikiria upya kwanza kwa saababu hayakukuta,waulize yaliowakuta watakuambia umuhimu wa kuwa na kitu kama hicho
 
karibu
 
Tuki ikataa ICC itabidi Tanzania ihame Africa. Hiyo ni mahakama iliyoundwa kwa ajili ya waAfrica kwa kisingizio cha kutafuta haki panapotokea mauwaji ya halaiki. Mbona wa akina Tony Blair, Geoge Kichaka, Uhud Barak na wengi wengina wa majuu wamefanya makubwa zaidi lakin hawajfikishwa ICC? TAFAKARI.
NEW WORLD ORDER, BIG BROTHER IS WATCHING YOU
 
Hawa ni kundi la Mashetani, wanataka kila mtu awapigie magoti,usipotaka wanakuua ama wanakupeleka huko ICC..kwa ufupi hii mahakama ni ya kipuuzi sana haina mandate kwa nchi za Ulaya na Us ila Afrika tu!!! hiyo mahakama gani inachagua watuhumiwa?!! wajinga sana hawa
 
Hii mahakama ya makosa ya kivita huko the Hague naiona imeundwa kutudhalilisha Waafrika na wala haina malengo memo kwetu. Serikali yetu isijiingize kwenye huo mtego wa ukoloni-beberu!!
wana JF mna maoni gani kuhusu hili?

Hii mahakama ya makosa ya kivita huko the Hague naiona imeundwa kutudhalilisha Waafrika na wala haina malengo memo kwetu. Serikali yetu isijiingize kwenye huo mtego wa ukoloni-beberu!!
wana JF mna maoni gani kuhusu hili?

mmmm fikiria upya kwanza kwa saababu hayakukuta,waulize yaliowakuta watakuambia umuhimu wa kuwa na kitu kama hicho
Mkuu kumbe una IDs mbili tofauti? nini lengo lako?
 
Mi isiwe makosa ya kivita,nataka na mafisadi nao wapelekwe huko wapate adabu
 
Mkuu kumbe una IDs mbili tofauti? nini lengo lako?

Sina ID mbili na wala sina mpango wa kuwa na ID mbili!!
Huyo anayejiita Mbogoshi ka-quote nlichokiandika
 
hii mahakama haieleweki kwasababu wapo wengi wanao fanya makosa tena makubwa lakini ni kama wanayafumbia macho ila wana toa hukumu kwa watu ambao ama hajakubaliana na matakwa yao au wataleta shida katika siku za usoni, tena sana sana ni wale watu wenye misimamo yao. Ni mangapi ambayo Moi alifanya lakini ninani alithubutu kumhukumu? siku Tz yakitukuta tutaelewa.
 
Back
Top Bottom