Watanzania hamuoni kuwa CCM ni Kichekesho?

4.-Baadhi-ya-wananchi-wakipigapicha-kwa-kutumia-kamera-na-simu-zao-ili-kupata-kumbukumbu-ya-matukio-mbalimbali-wakati-wa-mkutano-huo.jpg

"Nashangaa hata hapa CHADEMA ni wengi kuliko sisiemu" CCM hamuiwezi Chadema kwa njia ya haki! Angalieni mliposimama kuongea walianza kuondoka uwanjani mkabaki mkisema;

"Ni marufuku kuitwa waheshimiwa ndani ya CCM kuanzia leo"

Nami nawaungeni mkono kuanzia siku hiyo tunapenda kutangaza kuwa Wanaccm na viongozi wao ni "Wadharauliwa!" Alaa! kumbe inauma mkiitwa Wadharauliwa, sasa tuwaite vipi hali hamtaki kuitwa waheshimiwa? Nadhani mnajua kinyume cha mheshimiwa ni Mdharauliwa au Kiswali sio lugha ya Taifa kwa Chama chenu? Kauli zenu za kukataa heshima zitazaa dharau. Shauri lenu wasioheshimiwa​
 
JF Acheni UNAFIKI tuambieni Kama mnalipwa na CHADEMA Tujue. Mbona hata wajinga wa Chadema mnawasifu tu. Sasa basi Yale mazuri ya CCM msiyaponde.
CCM ni DUME la DEMOKRASIA. NyIe shangilieni tu wakati wao wanapeana vyeo kwa udugu na ujamaa tu. Chadema ni Chama cha Wachagga wengine wanatumiwa tu kufikia malengo ya wakubwa. Kwani Mbowe awesome lini.
 
Back
Top Bottom