Watanzania hakikisheni AFCON haichezi Tanzania

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,722
Reaction score
58,933
Watanzania hakikishe AFCON haichezwi Tanzania at any cost

Huu utakuwa ujinga kushabikia mpira wakati ndugu yetu kafungwa kihuni. Na wenzake wanatekwa na kuuawa na kupotea kipumbavu.

Ni wakati wa kuinyesha duniani kuwa Tanzania sio sehemu salama Tena kuishi.

Tuandae maandamano makubwa

Wiki moja kabla na ndani ya AFCON.
 
Afcon mpaka mwez wa sita kama sio wa saba mwakani

Hampo serious kama hamtak kuamka sasahivi kipind cha elnino bora hiyo afcon muiache tu
 
Watanzania hakikishe AFCON haichezwi Tanzania at any cost

Huu utakuwa ujinga kushabikia mpira wakati ndugu yetu kafungwa kihuni. Na wenzake wanatekwa na kuuawa na kupotea kipumbavu.

Ni wakati wa kuinyesha duniani kuwa Tanzania sio sehemu salama Tena kuishi.

Tuandae maandamano makubwa

Wiki moja kabla na ndani ya AFCON.
Chezea mattacko yako siyo dola
 
Nyinyi simmejifanya kwenda jino kwa jino na ccm na kupuuza ushauri wa lema.
Hii ni cha mtoto gharija itakuwa baada ya tume ya jaji Lila kusomwa msipo kuwa makini viongozi wote wa chadema wataishia jera.
 
Mliishtukiza serikali mwaka jana
Ila kipindi hiki kwa kweli mtahama miji mikubwa yote na kurudi maporini kwenu mlikotoka yaani Dar itakuwa nyeupe
 
Udhaifu haufichwi na visingizio. Hichi unachopendekeza ni kisingizio cha kujaribu kuficha udhaifu uliopo sasa.
 
Watanzania hakikishe AFCON haichezwi Tanzania at any cost

Huu utakuwa ujinga kushabikia mpira wakati ndugu yetu kafungwa kihuni. Na wenzake wanatekwa na kuuawa na kupotea kipumbavu.

Ni wakati wa kuinyesha duniani kuwa Tanzania sio sehemu salama Tena kuishi.

Tuandae maandamano makubwa

Wiki moja kabla na ndani ya AFCON.
Kuna kesi CHADEMA Diaspora ilifungua dhidi ya Yanga kule FIFA kwakua mzamini wake GSM alichangia pesa za kampeini kwa CCM.Hivi iliendelea au ilishatolewa hukumu? Ni wakati sahihi sasa CHADEMA kutangaza kua tupo kinyume na tunapinga mambo ya mpira wa miguu kuchezwa nchini.
 
Hapana aisee, waTz tunaitumia vzuri sana Ile kauli ya 'maisha lazima yaendelee' sabab ndio uhalisia wenyewe.
 
Watanzania hakikishe AFCON haichezwi Tanzania at any cost

Huu utakuwa ujinga kushabikia mpira wakati ndugu yetu kafungwa kihuni. Na wenzake wanatekwa na kuuawa na kupotea kipumbavu.

Ni wakati wa kuinyesha duniani kuwa Tanzania sio sehemu salama Tena kuishi.

Tuandae maandamano makubwa

Wiki moja kabla na ndani ya AFCON.
Acha ujinga usituletee upumbavu wako huyo mwehu wenu kapuku sisi hatuhusu
 
Back
Top Bottom