Ole wao wanafiki... washukuru Nyerere hayupo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ole wao wanafiki... washukuru Nyerere hayupo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nova Kambota, Sep 22, 2010.

 1. Nova Kambota

  Nova Kambota Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <He who knows not and knows not that he knows not is a fool&#8230;&#8230;> A Man Of The People(Chinua Achebe).

  Kuna hili tatizo ambalo linazidi kushika kasi kila siku Tanzania , hili si swala la kufumbiwa macho hata kidogo tena linakera sana , watu kutumia jina la baba wa taifa Mwl Nyerere kujijenga kisiasa, kibaya zaidi watu hawa bora wangeendesha siasa za amani tu au basi wangefanya propaganda zao kwa amani ningewaacha lakini wamevuka mipaka watumia jina la Nyerere kujij9enga kisiasa wanaenda mbali Zaidi wanafanya siasa za chuki wanatumia jina la Nyerere kuwagawa watanzania wanapandikiza chuki miongoni mwetu wanadhani wanajipambanua kuwa wao ni wanaharakati kwa kuipinga serikali au kutukana viongozi, wanataka tuamini kuwa Nyerere ndio aliwaambia kufanya hivyo, wanajifanya wao ndio wanamjua Nyerere sana lakini ukiwachunguza kiundani unabaini kuwa ni wanapropaganda kwa maana hawafati ya Nyerere kwa A wala B, hawaiishi A wala Z ya huyo wanayemhubiri.

  Nitasema tu kwa maana nisiposema wataendelea kuibomoa nchi yetu. Imefika wakati sasa kama mtu anapenda Nyerere atuonyeshe kwa matendo yake sio maneno kwa maana maneno ni falsafa butu.

  Hivi just imagine mtu anaibuka na kudai kuwa katika uhai wake baba wa taifa alipata kuzipitia katiba zote za vyama vya upinzani na mwishowe akasema kuwa ni CHADEMA peke yake ndiyo ina misingi ya TANU hivyo ndio chama pekee cha upinzani wa kweli.

  Sasa sentensi hii ina maana gani? Kwa faida ya nani? Iwe ni kweli au si kweli ukitafakari kiundani utaona sentensi hii ilifaa kuambatana na kauli ya Nyerere aliyoitoa oktoba 8 mwaka 1995 &#8230;&#8230;&#8230;.Mimi ni mshabiki Zaidi wa Tanzania kuliko CCM.

  Kama kungekuwa na chama kingine kizuri nisingehangaika na CCM ningeacha chama hiko kishike madaraka&#8230;&#8230;&#8230;.Hizi kauli mbili zinapaswa kujadiliwa pamoja sio tu kusema kuwa CHADEMA ndio chama pekee bora cha upinzani. Kwanza labda niulize swali kama CHADEMA ndio chama bora cha upinzani maana yake vingine havifai? Vifutwe?.....au watanzania wavichukie?(huku ni kupandikiza chuki) na pili kwanini na kauli ya Nyerere kuwa kama kungekuwa na chama kingine kizuri cha upinzani basiangejiunga na chama hiko na kuachana na CCM.

  Kauli ya Nyerere ina sura mbili kwanza katika kama kungekuwa na chama kingine kizuri cha upinzani&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;maana yake kuna chama kizuri kimoja ambacho anadhani kinahitaji chama kizuri kingine kipambane nacho na yeye anakiri kuwa kutokana na kuipenda Tanzania Zaidi hana upinzani kwa chama kingine kizuri mbali ya CCM kutwaa madaraka. Katika kauli hii maana yake hajaona chama kingine kizuri?.........haya ndizo hoja zinazotakiwa kuchambuliwa sio tu kukimbilia nukuu moja halafu kupotosha umma.

  Samahani hapa silengi kuponda CHADEMA nachojaribu kusema ni kuwa kama Nyerere mwenyewe angekuwa hai asingevumilia watu wapuuzi kupandikiza chuki kwa kutumia kauli zake.

  Haitoshi kuna watu wanajifanya wao ni wazalendo sana tena kama Nyerere kisa&#8230;.wanatoa maoni sana mtandaoni waache ujinga Nyerere alikuwa mzalendo wa kwel Nyererei alipenda nchi yake lakini hao
  wanaojiita wazungu wana mwaka wa kumi mpaka ishirini wapo kwenye nchi za watu wamebweteka tu bila wanamchango mdogo sana wakati tunafanya usafi na mkuu wetu wa wilaya kila jumamosi kule Temeke au wakati tunabeba mchanga kujenga shule yetu ya kata kule kijijini Namtumbo&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;ujinga mtupu Nyerere alishiriki kwenye kazi na wananchi wenzake hakuishia ughaibuni alipigania uhuru na akatuongoza kujenga taifa la wazalendo na hata alipofariki tumemzika kule Butiama sio hawa wanafiki ambao sijui wanasubiri nini kurudib nyumbani au wanasubiri wafe ndugu zao wakalie kwa mabalozi wetu ili miili yao irudishwe huku?

  Sipingi watu kuishi nje nawapinga wale wanaoishi nnje halafu wanapandikiza chuki huku nyumbani. Kuna wengine wanalipenda sana Azimio la Arusha midomoni mwao lakini hawaifahamu documentary hiyo muhimu na wala hawna hamu ya kuisoma&#8230;&#8230;&#8230;.ujinga mtupu wanaacha kujadili tufanyeje ili tuweze kuyatekeleza yaliyomo ndani ya Azimio wao wanapandikiza chuki watu waichukie serikali yao iliyopo madarakani&#8230;&#8230;..kwa faida ya nani? Na kwa maendeleo ya nani?

  Kuna wengine wanataka watanzania waamini kuwa kuipinga serikali ndio uanaharakati &#8230;&#8230;&#8230;.bila kujua kuwa tunapaswa kushirikiana na viongozi kwenye mema na wanapokosea kuwakumbusha sio kuchochea chuki&#8230;..kwa maana hata Biblia katika Waraka wa Paulo kwa Warumi sura ya 13;1-7 mtume paul anatuambia&#8230;&#8230;&#8230;..kila mtu anapaswa kuwatii wenye mamlaka katika serikali maana mamlaka yote hutoka kwa Mungu nao wenye mamlaka wamewekwa na Mungu. Anayepinga mamlaka ya viongozi anapinga agizo la Mungu, nao wafanyao hivyo wanajiletea hukumu wenyewe. Maana watawala hawasababishi hofu kwa watu wema ila kwa watu wabaya.

  Basi wataka usimwogope mtu mwenye mamlaka ? fanya mema naye atakusifu, maana yeye ni mtumishi wa Mungu anayefanya kazi kwa faida yako . Lakini ukifanya maovu huna budi kumwogopa maana anao kweli uwezo wa kutoa adhabu. Yeye ni mtumishi wa Mungu na huitekeleza ghadhabu ya Mungu kwa wafanyao maovu. Kwa hiyo ni lazima kuwatii wenye mamlaka , si tu kwa kuogopa ghadhabu pia kwa sababu dhamiri inadai hivyo. Kwasababu hiyohiyo ninyi hulipa kodi maana viongozi hao humtumikia Mungu kwa kuwa wanatimiza wajibu wao. Mpeni kila mtu haki yake ushuru mtu wa ushuru,wa kodi kodi na astahiliye heshima heshima&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;

  Hawa wanaowashawishi watanzania kuchukia viongozi wao sijui wana maana gani?..........na kwa faida ya nani? &#8230;&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;je viongozi wa Tanzania hawatimizi wajibu wao? Na hata kama ni kweli kuna namna ya kuwakumbusha kufanya hivyo sio kipandikiza chuki. Kwav wanasaikolojia waliobobea watakubaliana na mimi kuwa ukitaka mtu asivute sigara nyumbani kwako usibandike tangazo la &#8230;&#8230;&#8230;. Don't smoke&#8230;&#8230;&#8230;. Wewe kama ni bingwa wa saikolojia bandika tangazo&#8230;&#8230;&#8230;.Thank you for not smoking&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;utaona maajabu yake. Ndiyo jinsi tunavyopaswa kuwakumbusha viongozi wetu wajibu wao sio kwa kupandikiza chuki na mgawanyiko.

  Kuna mwingine anasema CCM ni chama cha matajiri bila kujua kauli hiyo ina ukweli au? Na ina madhara gani kwa taifa?...............je kama CCM ambayo ndiyo chama tawala ni chama cha matajiri kwa hiyo? &#8230;&#8230;&#8230;.haitoshi kuna wanaodai kuwa CCM sio chama cha maskini&#8230;&#8230;&#8230;.sasa hapa sielewi kuwa je matajiri hawaruhusiwi kujiunga na vyama vya siasa? Au wananchi wachukue serikali yao inayoongozwa na CCM? Wachukue bunduki wafanye uasi? Au wa ue matajiri wote nchini. Ssa umaskini si ndio moja ya maadui wakuu wa Taifa letu?.........je mtu akiwa tajiri ndio amekoma kuwa raia wa Tanzania?. .au umaskini ndio kigezo cha kuwa mtanzania?...........mi nafkiri hoja ya msingi ijikite kwenye uhalali wa mali walizonazo hao matajiri na siop wale walioko CCM tu hapa mjadala uwe mpana Zaidi hata kwa wale walioko upinzani na hata wafanyakazi. Hapa ni swala la uadilifu na uaminifu sasa ili kujenga taifa bora tusiwe wabaguzi au kuongozwa na chuki za kisiasa.

  Kuna mwingine anadai yeye ni mkweli kama Nyerere na anapenda midahalo ya kujenga nchi kama Nyerere alivyokuwa anafanya kwa kwenda pale mlimani kujadili na wasomi wa chuo kikuu&#8230;&#8230;&#8230;..hili linasemwa kwa kumaanisha au&#8230;&#8230;&#8230;.? Kwa maana Mwalimu alipenda mijadala yenye kulenga kujenga utaifa kuliko kuligawanya sasa ukiangalia hao wanaojifanya wanapenda midahalo utabaini kuwa wana lengo la kuwagawa watanzania &#8230;&#8230;&#8230;.au wanataka umaarufu&#8230;&#8230;&#8230;.na kwa bahati nzuri watanzania wamechoka kugawanywa ndio maana hawasomi kwa wingi maandiko ya hawa watu&#8230;&#8230;&#8230;..you just imagine kuna mwandishi mmoja kwenye makala yake anasema&#8230;&#8230;&#8230;(Wanaoniudhi Zaidi ni wananchi wa Dar ambao wanapenda kugereshwa kirahisi na watasimama mistarini oktoba 31 kuwachagua watu walewale wenye fikra zilezile&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;), halafu huyu anapigania umoja? ...je anataka nani achaguliwe? Je baada ya wananchi wa Dar es salaa kumuudhi&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;.ni wajinga? Yeye ana akili? Je wasipige kura kama hawamuoni anayemtaka yeye?...........then what is next&#8230;&#8230;? Kwa faida ya nani?........... tunajenga Tanzania au tunaibomoa?...........huyu ndiyo anapenda midahalo ya kitaifa au kisiasa?. Halafu mtu mtanzania kama mimi nikiibuka na hoja za kujenga taifa za kuwaunganisha watanzania &#8230;&#8230;&#8230;&#8230;.utasikia ooh kijana anatumiwa na CCM&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;.ooh bado
  mtoto mdogo hana weledi wala maono?..........ubatili mtupu.

  Haitoshi kuna hili lingine watu kusema kuwa &#8230;&#8230;&#8230;..Ikulu sio mahali pa kukimbilia&#8230;&#8230;&#8230;.kama alivyosema Mwalimu. Sasa mtu anasema hivi bila kulichambua neno si mahali pa kukimbilia lina maana ipi ya kifalsafa?.............je ni kuwania urais?...........kuwania urais kwa njia za fujo?..........au? . Sasa mtu hata kuichambua kauli hiyo hajaichambua anaibeba majukwaani kuwaambia wananchi ilihali yeye mwenyewe anawania urais&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;je anaisema kwa maana gani?...kwa faida ya nani?......ili iweje?.........ili watu wawachukie wagombea urais au ili waogope kuwania urais?.............Kama propaganda wafanye ila kwanini wanatumia jina la Nyerere kujijenga kisiasa? ...kwanini wasitumie majina yao?...hayafai?.....kwanini? Labda nitoe ushauri wa bure kuwa ifike sehemu kuwe na chombo maalumu cha kusimamia jina la Nyerere sio kila mtu analitumia atakavyo wengine wamefika mbali kwenye magari ya kiraia wanaongea lugha za makabila wakihojiwa wanasema hata mwalimu alikuwa anawatania wazee mbalimbali kwa lugha zao za makabila&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;haitoshi wanaenda mbali wanajenga ukabila kwa hojan kuwa wanadumisha utamaduni waq kabila lao kwa maana hata mwalimu alipenda
  utamaduni&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;ujinga mtupu.

  Najua kuna wtu nawaudhi sana kwa kuwa nasema ukweli waende wakasome Injili ya Yohana Mtakatifu sura ya 18;37(Hapo pilato akamwambia ,&#8230;Basi wewe ni mfalme? Yesu akajibu wewe umesema kwamba mimi ni mfalme . Mimi nimezaliwa kwaajili hiyo, na kwaajili hiyo nimekuja ulimwenguni kuwaambia watu juu ya ukweli. Kila mtu wa ukweli hunisikiliza, Pilato akamwambia ukweli ni kitu gani?............Sasa kutokana na hili Napata matumaini kuwa kusema ukweli ni jukumu la kila mmja wetu hiyo ndiyo tunu ya mbingu kusema ukweli bila kuangalia unamhusu nani?

  ...HUU NI UKWELI ANAYECHUKIA NA ACHUKIE.

  Sasa kuna tabia inazidi kuota mizizi ya baadhi ya watu kujipambanua kwamba wao ndio the purest Tanzanians of all kwasaababu tu wana uchungu na nchi, sasa mimi nilitegemea waonyeshe kwa vitendo
  usafi wao sio tu kulaumu au kusubiri watu wakosee ili waseme&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;.ujinga mtupu, hawa wanapoteza muda mwingi kulaumu kuliko kutoa njia mbadala za kutatua tatizo(sipingi kulaumu napinga kulaumu
  kwa lengo la kujijenga kisiasa bila kujali umoja wa kitaifa) inabidi hawa wajue Tanzana kwanza kabla ya harakati zao za kisiasa.

  Tanzania ni bora kuliko wao. Hawa wamejikita katika kuwalaumu wenzao mpaka wanasahau kujisahihisha wao wenyewe&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;hawajitazami wao ni wasafi kiasi kwa kiasi gani?...........kama wanalenga kujenga taifa waanze kujisafisha wao kwanza halafu ndio watakuwa na ujasiri wa kutosha kuji- brand wao ni akina Nyerere wa pili&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;..you see hata Biblia katika Luka 6;41 inasema (Unawezaje kukiona kibanzi kilicho kwenye jicho la mwenzio usiweze kuiona boriti iliyoko kwenye jicho lako mwenyewe?) . Ndio maana nasema hawa watu ni wajinga kabisa kwa maana wao wanashindwa kudhihirisha usafi wao? Na hivyo vyama vyao?............. kwani mara ngapi tumeona kwenye hivyo vyama
  viongozi wakihodhi madaraka?...........wanawawekea mizengwe wenzao kuwania uongozi? ......hawataki kutoka madarakani?........ujinga mtupu. Ndio maana nasisitiza inapaswa tupanue hii mijadala iwaguse watu wote wa vyama vyote na sio kuwanyooshea kidole chama kimoja tu, kwa maana tunahitaji Tanzania safi yenye vyama safi vyote sio chama kimoja tu haitakuwa na maana kabisa.

  Mwandishi bora siye anayefunua maovu pekee bali anayeonyesha nini kifanyike kutatua tatizo, yafuatayo ni mambo kumi tunayopaswa kuyazingatia ili tumuenzi Nyerere kwa vitendo kweli sio blah blah tu;

  Kwanza ni lazima watu wajue historia ya taifa letu tulipotoka , tulipo,tunapokwenda na mchango wa mawazo ya Nyerere kwa taifa hili.

  Pili inabidi wajue kwamba jina la Nyerere litumike kuwaunganisha watanzania vinginevyo ni kumsaliti baba wa taifa.

  Tatu inabidi wajue kuwa kulaumu pekee sio mworabaini wa matatizo twende mbele Zaidi tutoe solution.

  Nne inabidi watambue mjenga nchi ni mwananchi na kamwe Tanzania haitoendelea kwa mawazo au mifano ya Marekani au Ulaya bali yatatokana na mwazo ya kizalendo ya watanzania wenyewe.

  Tano wanapaswa wajikite kwenye kujadili hoja (ideas) wachane na kujadili watu.

  Sita wajue uanaharakati na kupinga serikali au CCM ni vitu viwili tofauti kwa maana uanaharakati ni kusema ukweli na kutetea wanyonge.

  Saba wajue kuwa uzalendo wa kweli hauletwi na kuponda CCM au serikali bali unaletwa na kila mtanzania kuipenda Tanzania kutoka moyoni.

  Nane wanapaswa wajue kuwa kuwa mwadilifu ni jukumu la kila mmoja wetu wakiwemo wao wenyewe sio kuwanyooshea vidole watu fulani pekee.

  Tisa wajue Nyerere ni baba wa taifa wa watanzania wote aliyepigania mshikamano wa watanzania katika maisha yake yote hivyo kutumia jina lake kuwagawa watanzania ni ujinga na usaliti, waende mbali Zaidi kwa kujua kuwa msingi wa maendeleo ni kuwa na mtazamo chanya sio uchochezi, fujo au kuwagawa watu.

  Kumi inabidi wajiofunze kujibu hoja kwa hoja sio kudhani kuwa kila anayejenga hoja za kitaifa basi katumwa na CCM haitoshi waende mbali Zaidi kwa kujua vipaumbele vya taifa na wajue na kuweka mbele maslahi ya watanzania kwanza kabla ya vyama vyao vya siasa&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;..Allutacontinua&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;

  &#8230;&#8230;.Yeyote atakayemkosesha mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini , ingekuwa afadhali afungwe shingoni jiwe kubwa la kusagia na kuzamishwa kwenye kilindi cha bahari. Ole wake ulimwengu kwasababu ya vikwazo vinavyowaangusha wengine.Vikwazo hivyo ni lazima vitokee lakini ole
  wake mtu Yule atakayevisababisha&#8230;&#8230;&#8230;&#8230;(Matayo18;6-7)

  Makala hii imeandikwa na Noatus .S. Kambota kutoka Vijana Zaidi , yeye ni mwanaharakati wa mtandao wa kijamii unaoitwa kijamii unaoitwa Taifa Huru Tanzania unaojihusisha na uchambuzi wa maswala mbalimbali ya kisiasa vilevile ni mwanaharakati wa mazingira wa Jitume Environmental Society(JES) na pia alipata kusoma katika seminari ya visiga na shule ya Ilboru ya mkoani Arusha. Anapatikana kwa namba za simu 0717-709618 au 0783-610926 au unaweza kumwandikia kwa anwani ya barua pepe ; novakambota@gmail.com
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  crap
   
 3. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,304
  Trophy Points: 280
  Dogo u mzima kichwani wewe?
   
 4. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Wakati huo sehemu fulani Tanzania, watoto wa kitanzania wanasubiri mzimu wa Nyerere uwajengee shule
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kuna spam siku hizi JF! Hebu MOD ondoeni hii kitu
   
 6. Nova Kambota

  Nova Kambota Member

  #6
  Sep 23, 2010

 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Unaandika mengi mnoo mkuu hujui watanzania ni wavivu wakusoma na ndo maana hata mikataba fek ni mingi ntaludi kuicheki post yako.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ignore list...
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  i wonder, do gays dry??
  do they have to feel what real me do??
  i wonder... are boy real men?

  i wonder, who is the fool?
  a real fool to miss, what this flower is??

  i i wonder, what this **** earn?
  earn that much, to sell his dignity?

  i wonder, i wonder, i wonder
   
 10. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hujui hata kuandika bana, Hakuna Paragraphy as a result makala yako hata haivutii kuisoma si ajabu umesoma shule za kata wewe
   
 11. V

  Vaticano Member

  #11
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona vingine huombi uondolewe?
   
 12. M

  Mutu JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  idiota
   
 13. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #13
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hivi nani yule aliesema huyu dogo ni shog...:sleepy:.
   
 14. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #14
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wakati mkufanya usafi na mkuu wa Wilaya ya Temeke ndo akakupa hii makala uje uibandike.
   
 15. m

  mapambano JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kawatishe watoto...Nyerere angekua hai.... You need to move with time, hii argunment ya Nyerere angekuwepo ...imepitwa na wakati. He is not alive, now move on
   
 16. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Hii ni insha kaandika huyu jamaa, sasa namna ya kuisoma ni rahisi - soma para ya kwanza na ya mwisho utakuwa umempata. Huyu jamaa atakuwa katumwa na Kingunge. Wanaotumia jina la Nyerere wako sahihi, kwani ni mfano hai; pili angelikuwepo hai, angeongea mwenyewe. Sasa unasemaje kuhusu baadhi ya radio na TV kuhusu kurusha sehemu ya hotuba zake kuhusu uchaguzi? Labda hawa wapinzani ndiko wanako nukuu!

  Copyright law inaruhusu kutumia jina la Nyerere na mitazamo yake ilimradi mtumiaji ana nukuu. Naomba uongeze uelewa wako kwenye mambo ya intellectual property rights.
   
 17. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  imeaandaliwa na TAMBWE HIZA, my take and stand UPUPU MTUPU, OP.
   
 18. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  bange bila msosi!!!!!!!!!
   
Loading...