Watanzania bwana, eti simu za galaxy ni za wanawake

Kichwa Ndio Mtu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
3,079
Reaction score
1,719
Ndio maana Tanzania ni nchi masikini na watu hawajui ni kwa nini wako masikini na viongozi wao hawajui ni nini chanzo cha umasikini wa wananchi wao.

Leo nilikua naongea na jamaa yangu ambae huwa anaenda china na Korea kusini mara kwa mara,nikamuomba siku akienda aniletee galaxy note 4 maana bei huko inaweza kua reasonable kidogo kuliko huku.

Basi pembeni yetu walikuwepo watu wengine,nikasikia mmoja anasema simu zote za Samsung ni za kike ikiwemo galaxy zote. Eti mwanaume huwezi kujisifia kuwa na galaxy simu za kike. Juzi juzi kapa nilileta mada humu nikiomba ushauri kati ya brevis na verrosa ipi gari nzuri nikaambiwa zote ni za wana wake. kwa hiyo kila kitu ni cha wanawake basi.

Watanzania sina hamu nao.
 
Chanzo cha umaskin tanzania si eti kwa sababu tunapishana mawazo.Tena ukitaka kuwa na maisha magumu basi ni ishi kama watu watakavyo.

Hata jina lako,kazi yako,Mtu aweza sema ni ya wanawake.
 
Bongo ni nchi tofauti sana.. ila tatizo mi nishaligundua kitambo: ni hichi kiswahili, lugha ya kinafiki sana hii... Kingereza hakina haya mambo ya kusemana hovyo hovyo kama wabongo tulivyo
 
Wadau nisaidieni kuipata ile thread ya pasco aliyokuwa ana discourage gari akiziita "baby walker" nisaidieni wadau.
 
Kwani uwongo mkuu? Mimi bora nimiliki kitochi kuliko hizo samsungu. Yaani ni hali tu imenitokea.
 
Ndio maana Tanzania ni nchi masikini na watu hawajui ni kwa nini wako masikini na viongozi wao hawajui ni nini chanzo cha umasikini wa wananchi wao.

Leo nilikua naongea na jamaa yangu ambae huwa anaenda china na Korea kusini mara kwa mara,nikamuomba siku akienda aniletee galaxy note 4 maana bei huko inaweza kua reasonable kidogo kuliko huku.

Basi pembeni yetu walikuwepo watu wengine,nikasikia mmoja anasema simu zote za Samsung ni za kike ikiwemo galaxy zote. Eti mwanaume huwezi kujisifia kuwa na galaxy simu za kike. Juzi juzi kapa nilileta mada humu nikiomba ushauri kati ya brevis na verrosa ipi gari nzuri nikaambiwa zote ni za wana wake. kwa hiyo kila kitu ni cha wanawake basi.

Watanzania sina hamu nao.

Watu wenye uwezo wa kuzinunua hawana kauli kama hizo, mara nyingi wachovu wenye ndio wenye lugha za kujipa moyo kama sababu ya wao kutokuwa nazo. Fanya yako mkuu.
 
Ukweli galaxy zimekaa ki soft soft so zinafaa wanawake. Unlike tecno, lg, htc etc. Ila Tcno wajameni anakuja kwa kasi. Nimekutana na Tecno Phantom Z nikakubali. Sema ni kilo 8 hadi 7.5 uwe nazo mitaa ya maduka City Centre. Hko kando bei zinaweza kupungua kidogo.
 
Ha, not really and your a moron for believing it, only ------ believe this with a very low iq, ------ will follow the ------ of society unfortunately because they don't have a mind of their own, he has no credibility considering what he's done, he's just another moron of society thats all, people fight with their words, not fists, that just shows stupidity
 
Huo ni ukweli ingawa unauma.
We dume zima unatumia sum!
 
Ukweli galaxy zimekaa ki soft soft so zinafaa wanawake. Unlike tecno, lg, htc etc. Ila Tcno wajameni anakuja kwa kasi. Nimekutana na Tecno Phantom Z nikakubali. Sema ni kilo 8 hadi 7.5 uwe nazo mitaa ya maduka City Centre. Hko kando bei zinaweza kupungua kidogo.
iko mbomba hata R7
 
Wanaosema hivyo ni wahuni. Iphone 5 na samsung galaxy zote ni simu za wanaume. Ambaye hataki akajitie kitanzi cha katani.
 
Tukiambiwa wale sokwe mtu binadam wa kale zinjathropus wana IQ na maendeleo kutuzid tunakasirika na kuchukia na huo ndio ukweli. Kwa kifupi tu nchi yetu imejaa na kushehen maamuma waliokubuhu. Siyo bongo tu popote tulipo Dunian. Nyambaff zetu!!!
 
Ha, not really and your a moron for believing it, only ------ believe this with a very low iq, ------ will follow the ------ of society unfortunately because they don't have a mind of their own, he has no credibility considering what he's done, he's just another moron of society thats all, people fight with their words, not fists, that just shows stupidity

Nadhani ungetulia ungeandika jambo linaloeleweka. Jifunze lugha za watu.
 
Real madrid imempiga mutu huko tatu moja ni hataree chalii yangu
 
Ha, not really and your a moron for believing it, only ------ believe this with a very low iq, ------ will follow the ------ of society unfortunately because they don't have a mind of their own, he has no credibility considering what he's done, he's just another moron of society thats all, people fight with their words, not fists, that just shows stupidity

Ndo una maana gani sasa,au ndo divisheni 5 imeanza kuonesha athari
 
Back
Top Bottom