Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,491
- Thread starter
- #41
Swali la msingi, majibu yangu yatakuwa based on Plato’ rationale on civil service (he termed it ‘philosophers king’).Kuna namna fulani mimi naamini kiongozi mkuu wa chombo chochote cha usalama hatakiwi kuwa ametoka kwenye background ya maskini..
...ni rahisi sana mtu aliyekulia maisha ya kimaskini kupumbazika na pesa nyingi ambazo hakuwahi kuzishika huko nyuma na kiasi cha kuvunja kiapo chake bila kujali athari zake.
..Suleiman Mombo,Jacobo Mkundu na Camillius Wambura kwa jinsi Samia na mtoto wake walivyowageuza mazezeta kwa rushwa za mabilion wanazowapa, nina amini kabisa hawa watatu wameishi kwenye maisha ya kimaskini sana katika makuzi yao.
Ndio maana wamekubali sio tu kuliweka usalama wa taifa rehani, bali hata kutweza utu wao kwa kumnyenyekea na kumtii Abdul ambao kimsingi nina uhakika wanaweza kumzaa...
...hakika pesa mwanaharamu, yaani mababa mazima yamekubali kubeba lawama zote za watanzania 67m+ hili tu bank accounts zao zisome mabilioni hili kuilinda hii first familiy haramu iendelee kubagaza taifa la watanganyika.
Ila kwa hii katiba kweli baba wa Taifa alituweza.
Plato's Argument for Rule by Philosopher Kings
Plato’s argument for rule by philosopher kings is neither persuasive nor realistic in theory, but traces of the characteristics of his ideal form of rule do appear in the modern state.
www.e-ir.info
For any serious politician, reading Plato’s ‘Repiblic’ is like canon law; the book is the backbone of western government civil service’s succession planning.