Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,523
Sielewi kwanini moderators wanadhani it’s normal.Hao hao ndio wanaongoza hapa Jf kwa nyuzi mbaya na maneno machafu ya kidini pamoja na dhihaka.
Tunachekeana tu moyoni chuki zimetawlaa
Hizo ni dharau za kudhania, watanzania hawana akili ya kuchakata baya na żuri kwao.Wanataka kupandikiza udini ili tuhangaike nao, tuache lengo kuu
Kwa sehemu kubwa ninakubaliana na fikra zako katika hili.Wabara ni watu wenye urafiki, usio kujali dini ya mtu. .
Bara ni kawaida sana wacha mungu wa dini tofauti kuwa mabesty.
Bara muislamu hana shida akimpigia simu rafiki yake katikati ya week tukutane, na kujibiwa leo naenda kusoma biblia; tukutane usiku au kesho.
Bara mkristo anajua rafiki yake ncha mungu kama ni mtu wa sala tano mida gani ya kumtafuta.
Kutokana na matendo hayo ya serikali watanzania wanahitaji kushawishiwa na watu wa dini kumkubali au kumkataa kiongozi wao.Huu uchochezi wote wa kidini sawa na utekaji, ufiraji, utesaji, kupoteza watu, kutupa watu magereza unatoka kwa watawala wa Tanganyika. Samia na mshauri wake mkuu Abdul, waratibu wa utekaji, ufiraji, utesaji uhuni wote.
Bila kuwaondoa hawa udini, utekaji, utesaji, kupoteza ndugu zetu, yoyote kutupwa magereza hauta kwisha.
Sasa unataka JF wafanye nini? Tatizo haliwezi kuondoka kwa kutolisikia, au kuliona mitandaoni.Jamii Forums inatutaka nini watanzania na huu uhuru wa wakuachia wachangiaji wake kupalilia hizi chuki.
Sijawahi kumwona au kumsikia Mkristu anayemchukia mtu wa dini nyingine(naowajua); ila nimewasikia wengi wa upande mwingine na ghadhabu kabisa na kuapiza chuki iliyopo. "The Fire in the eyes" inatisha sanaHao hao ndio wanaongoza hapa Jf kwa nyuzi mbaya na maneno machafu ya kidini pamoja na dhihaka.
Tunachekeana tu moyoni chuki zimetawlaa
Kutokana na matendo hayo ya serikali watanzania wanahitaji kushawishiwa na watu wa dini kumkubali au kumkataa kiongozi wao.
Unahitaji kuwa muislamu au mkristo kuwa na opinion on what happened; kipindi cha uchaguzi.
Sasa hawa wanaokuja leo kwa misingi ya dini lengo lao ni lipi; hasa members wanao anzisha mada sijui (kiongozi gani wa dini kasema hivi).
Kitima hakuwa mpuuzi aliposema anaongea kama yeye, sio taasisi kwa sababu anajua madhara ya ku implement church morals na misimamo yake .
Sasa hawa watu ambao kila uchao ni mada za kidini tu (jumlisha na masheikh wa Samia). Kwanini wanakuwa promoted.
Samia ni hovyo uhitaji Sheikh, Padre au Mchungaji akueleze hilo. Halikadhalika Samia sio wa hovyo kwa sababu wewe na yeye sio dini moja.
Samia ni hovyo as an individual kutokana na uwezo wake mdogo. Sasa huku kwenye dini kunahusu nini.
Wasomi wa bara ndio wenye udini.Wabara ni watu wenye urafiki, usio kujali dini ya mtu. .
Bara ni kawaida sana wacha mungu wa dini tofauti kuwa mabesty.
Bara muislamu hana shida akimpigia simu rafiki yake katikati ya week tukutane, na kujibiwa leo naenda kusoma biblia; tukutane usiku au kesho.
Bara mkristo anajua rafiki yake ncha mungu kama ni mtu wa sala tano mida gani ya kumtafuta.
Wale wenzangu na mimi ambao tumezaliwa kwenye dini tu, lakini nyumba za ibada hatuzijui. Ndio kabisa tofauti ya dini zetu huja kwenye mambo ya kifamilia hasa kwenye ndoa (usijehama) vinginevyo hatujali wala kufuata Sheikh sijui Padre kasema nini.
Kwanini wanasiasa, watu wachache wa dini; promoted by media outlets including JF; watuwekee emphasis watanzania tunatofauti ya udini.
Whilst ubaguzi wa dini sio sehemu ya socialisation katika malezi yetu nyumba tulizolelewa, mitaa tuliyokulia na nyumba za ibada tulizo
uzuria.
Jamii Forums inatutaka nini watanzania na huu uhuru wa wakuachia wachangiaji wake kupalilia hizi chuki.
Msomi awe mdini? Labda unachanganya na wewe mwenyewe kujiona mnyonge mbele ya msomi? Probably ya msomi kuwa mdini ni ndogo sanaWasomi wa bara ndio wenye udini.
Kiongozi ni ngumu sana ku eliminate tatizo katika jamii 100%.Kwa sehemu kubwa ninakubaliana na fikra zako katika hili.
WaTanzania, kwa upande wa Bara (Tanganyika), maswala ya dini tulikuwa karibu tumeyaweka pembeni katika uhusiano wetu; lakini pamoja na hali hiyo, si sahihi kusema kuwa miongoni mwa jamii hapakuwepo na tofauti za chini kwa chini, zikiongozwa na baadhi ya watu wachache.
Ni nani asiyejuwa juhudi za akina Kitwana Kondo; au wewe ni mtoto wa jana?
Kundi lililokuwa linapingana na juhudi za Mwalimu Nyerere na wenzake katika ujenzi wa taifa lenye bumoja, ambao ndio unaouelezea katika mada yako hapa, hulijui?
Hayo yote uliyoelezea katika maneno niliyonyanyua hapo juu, siyo kwamba yalijitokeza tu yenyewe yakawepo; hayo ni matokeo ya juhudi kubwa zilizofanywa na waasisi wa taifa hili.
Sasa juhudi hizo zote zinabomolewa na viongozi kama huyu Samia Suluhu Hassan anayefikiri kuwa kuwepo kwake madarakani kutategemea dini yake.
Wanataka kupandikiza udini ili tuhangaike nao, tuache lengo kuu
Kwa Tanganyika kuchukiana kwa Udini ni ngumu kwasababu dini zimebemendana.Sijawahi kumwona au kumsikia Mkristu anayemchukia mtu wa dini nyingine(naowajua); ila nimewasikia wengi wa upande mwingine na ghadhabu kabisa na kuapiza chuki iliyopo. "The Fire in the eyes" inatisha sana
Jumlisha na tamaa, hawa watu hawajali nchi inapoelekea ilimradi yupo kwenye Rolls-Royce ushamba kweli. Afisa gani wa usalama unakuwa materialistic.Tatizo ni vetting, usalama wa taifa, jeshi, katiba, mifumo yote kuruhusu kilaza kama huyu na familia yake kuchukua nchi, na kumlinda.
Wabara ni watu wenye urafiki, usio kujali dini ya mtu. .
Bara ni kawaida sana wacha mungu wa dini tofauti kuwa mabesty.
Bara muislamu hana shida akimpigia simu rafiki yake katikati ya week tukutane, na kujibiwa leo naenda kusoma biblia; tukutane usiku au kesho.
Bara mkristo anajua rafiki yake ncha mungu kama ni mtu wa sala tano mida gani ya kumtafuta.
Wale wenzangu na mimi ambao tumezaliwa kwenye dini tu, lakini nyumba za ibada hatuzijui. Ndio kabisa tofauti ya dini zetu huja kwenye mambo ya kifamilia hasa kwenye ndoa (usijehama) vinginevyo hatujali wala kufuata Sheikh sijui Padre kasema nini.
Kwanini wanasiasa, watu wachache wa dini; promoted by media outlets including JF; watuwekee emphasis watanzania tunatofauti ya udini.
Whilst ubaguzi wa dini sio sehemu ya socialisation katika malezi yetu nyumba tulizolelewa, mitaa tuliyokulia na nyumba za ibada tulizo huzuria.
Jamii Forums inatutaka nini watanzania na huu uhuru wa wakuachia wachangiaji wake kupalilia hizi chuki.
Jumlisha na tamaa, hawa watu hawajali nchi inapoelekea ilimradi yupo kwenye Rolls-Royce ushamba kweli. Afisa gani wa usalama unakuwa materialistic.