Watanzania bara hawana udini

Watanzania bara hawana udini

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
6,750
Reaction score
14,491
Wabara ni watu wenye urafiki, usio kujali dini ya mtu. .

Bara ni kawaida sana wacha mungu wa dini tofauti kuwa mabesty.

Bara muislamu hana shida akimpigia simu rafiki yake katikati ya week tukutane, na kujibiwa leo naenda kusoma biblia; tukutane usiku au kesho.

Bara mkristo anajua rafiki yake ncha mungu kama ni mtu wa sala tano mida gani ya kumtafuta.

Wale wenzangu na mimi ambao tumezaliwa kwenye dini tu, lakini nyumba za ibada hatuzijui. Ndio kabisa tofauti ya dini zetu huja kwenye mambo ya kifamilia hasa kwenye ndoa (usijehama) vinginevyo hatujali wala kufuata Sheikh sijui Padre kasema nini.

Kwanini wanasiasa, watu wachache wa dini; promoted by media outlets including JF; watuwekee emphasis watanzania tunatofauti ya udini.

Whilst ubaguzi wa dini sio sehemu ya socialisation katika malezi yetu nyumba tulizolelewa, mitaa tuliyokulia na nyumba za ibada tulizo huzuria.

Jamii Forums inatutaka nini watanzania na huu uhuru wa wakuachia wachangiaji wake kupalilia hizi chuki.
 
Huu uchochezi wote wa kidini sawa na utekaji, ufiraji, utesaji, kupoteza watu, kutupa watu magereza unatoka kwa watawala wa Tanganyika. Samia na mshauri wake mkuu Abdul, waratibu wa utekaji, ufiraji, utesaji uhuni wote.

Bila kuwaondoa hawa udini, utekaji, utesaji, kupoteza ndugu zetu, yoyote kutupwa magereza hauta kwisha.
 
Wanataka kupandikiza udini ili tuhangaike nao, tuache lengo kuu
Hizo ni dharau za kudhania, watanzania hawana akili ya kuchakata baya na żuri kwao.

Watanzania awahitaji input ya viongozi wa dini (kwa wale wenye lengo la kuamasisha waumini wao) kwenye kupima utendaji wa kiongozi.
 
Wabara ni watu wenye urafiki, usio kujali dini ya mtu. .

Bara ni kawaida sana wacha mungu wa dini tofauti kuwa mabesty.

Bara muislamu hana shida akimpigia simu rafiki yake katikati ya week tukutane, na kujibiwa leo naenda kusoma biblia; tukutane usiku au kesho.

Bara mkristo anajua rafiki yake ncha mungu kama ni mtu wa sala tano mida gani ya kumtafuta.
Kwa sehemu kubwa ninakubaliana na fikra zako katika hili.
WaTanzania, kwa upande wa Bara (Tanganyika), maswala ya dini tulikuwa karibu tumeyaweka pembeni katika uhusiano wetu; lakini pamoja na hali hiyo, si sahihi kusema kuwa miongoni mwa jamii hapakuwepo na tofauti za chini kwa chini, zikiongozwa na baadhi ya watu wachache.
Ni nani asiyejuwa juhudi za akina Kitwana Kondo; au wewe ni mtoto wa jana?

Kundi lililokuwa linapingana na juhudi za Mwalimu Nyerere na wenzake katika ujenzi wa taifa lenye bumoja, ambao ndio unaouelezea katika mada yako hapa, hulijui?

Hayo yote uliyoelezea katika maneno niliyonyanyua hapo juu, siyo kwamba yalijitokeza tu yenyewe yakawepo; hayo ni matokeo ya juhudi kubwa zilizofanywa na waasisi wa taifa hili.

Sasa juhudi hizo zote zinabomolewa na viongozi kama huyu Samia Suluhu Hassan anayefikiri kuwa kuwepo kwake madarakani kutategemea dini yake.
 
Huu uchochezi wote wa kidini sawa na utekaji, ufiraji, utesaji, kupoteza watu, kutupa watu magereza unatoka kwa watawala wa Tanganyika. Samia na mshauri wake mkuu Abdul, waratibu wa utekaji, ufiraji, utesaji uhuni wote.

Bila kuwaondoa hawa udini, utekaji, utesaji, kupoteza ndugu zetu, yoyote kutupwa magereza hauta kwisha.
Kutokana na matendo hayo ya serikali watanzania wanahitaji kushawishiwa na watu wa dini kumkubali au kumkataa kiongozi wao.

Unahitaji kuwa muislamu au mkristo kuwa na opinion on what happened; kipindi cha uchaguzi.

Sasa hawa wanaokuja leo kwa misingi ya dini lengo lao ni lipi; hasa members wanao anzisha mada sijui (kiongozi gani wa dini kasema hivi).

Kitima hakuwa mpuuzi aliposema anaongea kama yeye, sio taasisi kwa sababu anajua madhara ya ku implement church morals na misimamo yake .

Sasa hawa watu ambao kila uchao ni mada za kidini tu (jumlisha na masheikh wa Samia). Kwanini wanakuwa promoted.

Samia ni hovyo uhitaji Sheikh, Padre au Mchungaji akueleze hilo. Halikadhalika Samia sio wa hovyo kwa sababu wewe na yeye sio dini moja.

Samia ni hovyo as an individual kutokana na uwezo wake mdogo. Sasa huku kwenye dini kunahusu nini.
 
Jamii Forums inatutaka nini watanzania na huu uhuru wa wakuachia wachangiaji wake kupalilia hizi chuki.
Sasa unataka JF wafanye nini? Tatizo haliwezi kuondoka kwa kutolisikia, au kuliona mitandaoni.

Ni wajibu wa viongozi wa nchi kuwa mstari wa mbele kukataa kugawanya waTanzania kwenye makundi ya kidini. hiyo ndiyo njia kubwa na muhimu ya kwanza; haya mengine yote yatafuata tu kwenye mstari.
 
Hao hao ndio wanaongoza hapa Jf kwa nyuzi mbaya na maneno machafu ya kidini pamoja na dhihaka.

Tunachekeana tu moyoni chuki zimetawlaa
Sijawahi kumwona au kumsikia Mkristu anayemchukia mtu wa dini nyingine(naowajua); ila nimewasikia wengi wa upande mwingine na ghadhabu kabisa na kuapiza chuki iliyopo. "The Fire in the eyes" inatisha sana
 
Kutokana na matendo hayo ya serikali watanzania wanahitaji kushawishiwa na watu wa dini kumkubali au kumkataa kiongozi wao.

Unahitaji kuwa muislamu au mkristo kuwa na opinion on what happened; kipindi cha uchaguzi.

Sasa hawa wanaokuja leo kwa misingi ya dini lengo lao ni lipi; hasa members wanao anzisha mada sijui (kiongozi gani wa dini kasema hivi).

Kitima hakuwa mpuuzi aliposema anaongea kama yeye, sio taasisi kwa sababu anajua madhara ya ku implement church morals na misimamo yake .

Sasa hawa watu ambao kila uchao ni mada za kidini tu (jumlisha na masheikh wa Samia). Kwanini wanakuwa promoted.

Samia ni hovyo uhitaji Sheikh, Padre au Mchungaji akueleze hilo. Halikadhalika Samia sio wa hovyo kwa sababu wewe na yeye sio dini moja.

Samia ni hovyo as an individual kutokana na uwezo wake mdogo. Sasa huku kwenye dini kunahusu nini.

Tatizo ni vetting, usalama wa taifa, jeshi, katiba, mifumo yote kuruhusu kilaza kama huyu na familia yake kuchukua nchi, na kumlinda.
 
Wabara ni watu wenye urafiki, usio kujali dini ya mtu. .

Bara ni kawaida sana wacha mungu wa dini tofauti kuwa mabesty.

Bara muislamu hana shida akimpigia simu rafiki yake katikati ya week tukutane, na kujibiwa leo naenda kusoma biblia; tukutane usiku au kesho.

Bara mkristo anajua rafiki yake ncha mungu kama ni mtu wa sala tano mida gani ya kumtafuta.

Wale wenzangu na mimi ambao tumezaliwa kwenye dini tu, lakini nyumba za ibada hatuzijui. Ndio kabisa tofauti ya dini zetu huja kwenye mambo ya kifamilia hasa kwenye ndoa (usijehama) vinginevyo hatujali wala kufuata Sheikh sijui Padre kasema nini.

Kwanini wanasiasa, watu wachache wa dini; promoted by media outlets including JF; watuwekee emphasis watanzania tunatofauti ya udini.

Whilst ubaguzi wa dini sio sehemu ya socialisation katika malezi yetu nyumba tulizolelewa, mitaa tuliyokulia na nyumba za ibada tulizo
uzuria.

Jamii Forums inatutaka nini watanzania na huu uhuru wa wakuachia wachangiaji wake kupalilia hizi chuki.
Wasomi wa bara ndio wenye udini.
 
Kwa sehemu kubwa ninakubaliana na fikra zako katika hili.
WaTanzania, kwa upande wa Bara (Tanganyika), maswala ya dini tulikuwa karibu tumeyaweka pembeni katika uhusiano wetu; lakini pamoja na hali hiyo, si sahihi kusema kuwa miongoni mwa jamii hapakuwepo na tofauti za chini kwa chini, zikiongozwa na baadhi ya watu wachache.
Ni nani asiyejuwa juhudi za akina Kitwana Kondo; au wewe ni mtoto wa jana?

Kundi lililokuwa linapingana na juhudi za Mwalimu Nyerere na wenzake katika ujenzi wa taifa lenye bumoja, ambao ndio unaouelezea katika mada yako hapa, hulijui?

Hayo yote uliyoelezea katika maneno niliyonyanyua hapo juu, siyo kwamba yalijitokeza tu yenyewe yakawepo; hayo ni matokeo ya juhudi kubwa zilizofanywa na waasisi wa taifa hili.

Sasa juhudi hizo zote zinabomolewa na viongozi kama huyu Samia Suluhu Hassan anayefikiri kuwa kuwepo kwake madarakani kutategemea dini yake.
Kiongozi ni ngumu sana ku eliminate tatizo katika jamii 100%.

Sisi tunakuwa matunda JKN ni kwamba marafiki wa kiislamu tunawafuata nje ya chuo mida ya kumaliza madras, tunawasindikiza wakristo mafundisho.

Msiba wa wa kikristo mtaani waislamu mnaingia kanisani mnakaa nyuma, wa kiislamu wakislamu wakristo mnaweza ingia kukaa nyuma kwa kufuata taratibu zao au mkabaki nje; Lakini kusindikiza jeneza ni la wote.

Ramadhani kuwaalika wakristo futari ni kawaida,

Nyerere gani unaemzungumzia wewe alipika udini. Nyerere alikuwa mjenga taifa na sio mdini.

Kuna fyokofyoko zimeingia kati hapa za udini na momentum yake inakua.
 
Wanataka kupandikiza udini ili tuhangaike nao, tuache lengo kuu

Ndio, huo ni mkakati wa hii familia mbili, tatu, Samia, Kikwete, Rostam.

Ni kweli watanganyika hawajawahi kuwa wadini kama Afrighanistan, Pakistan, Somalia nk. Wanataka kutupeleka huko.

Kwa akili ya Samia, Abdul ndio uwezo wao unapoishia wakitumia kodi zetu kutugawanya kwa kuwalipa masheikh wa mchongo, kutukana TEC ili watutawale vizuri wakati tukigombania udini, ujinga.
 
Sijawahi kumwona au kumsikia Mkristu anayemchukia mtu wa dini nyingine(naowajua); ila nimewasikia wengi wa upande mwingine na ghadhabu kabisa na kuapiza chuki iliyopo. "The Fire in the eyes" inatisha sana
Kwa Tanganyika kuchukiana kwa Udini ni ngumu kwasababu dini zimebemendana.
Chukulia nyumba ya mkristo kuna mtoto anaitwa Shamimu Zabron, kwenye nyumba ya muislamu kuna mtoto anaitwa Sekela Mohamed... Kuna kuchukiana kwa dini hapo?!!!
 
Tatizo ni vetting, usalama wa taifa, jeshi, katiba, mifumo yote kuruhusu kilaza kama huyu na familia yake kuchukua nchi, na kumlinda.
Jumlisha na tamaa, hawa watu hawajali nchi inapoelekea ilimradi yupo kwenye Rolls-Royce ushamba kweli. Afisa gani wa usalama unakuwa materialistic.
 
Wabara ni watu wenye urafiki, usio kujali dini ya mtu. .

Bara ni kawaida sana wacha mungu wa dini tofauti kuwa mabesty.

Bara muislamu hana shida akimpigia simu rafiki yake katikati ya week tukutane, na kujibiwa leo naenda kusoma biblia; tukutane usiku au kesho.

Bara mkristo anajua rafiki yake ncha mungu kama ni mtu wa sala tano mida gani ya kumtafuta.

Wale wenzangu na mimi ambao tumezaliwa kwenye dini tu, lakini nyumba za ibada hatuzijui. Ndio kabisa tofauti ya dini zetu huja kwenye mambo ya kifamilia hasa kwenye ndoa (usijehama) vinginevyo hatujali wala kufuata Sheikh sijui Padre kasema nini.

Kwanini wanasiasa, watu wachache wa dini; promoted by media outlets including JF; watuwekee emphasis watanzania tunatofauti ya udini.

Whilst ubaguzi wa dini sio sehemu ya socialisation katika malezi yetu nyumba tulizolelewa, mitaa tuliyokulia na nyumba za ibada tulizo huzuria.

Jamii Forums inatutaka nini watanzania na huu uhuru wa wakuachia wachangiaji wake kupalilia hizi chuki.

Hawatafanikiwa, usijali, it's too late kwa hayo, ni sawa sawa na kuanza kulewa ukiwa na miaka 75, tumepita hapo kwenye udini mda sana
 
Jumlisha na tamaa, hawa watu hawajali nchi inapoelekea ilimradi yupo kwenye Rolls-Royce ushamba kweli. Afisa gani wa usalama unakuwa materialistic.

Tumefika pabaya sana. Hakuna tena uadilifu, uzalendo, uaminifu kwa nchi. Kuishi viapo vyao.

Wanashindana kuiba, ukiwapa dau, cheo, pesa. Watanganyika wengi ni wasaliti. Sijui kama wanakumbuka hata viapo vyao.

Tunashangaa kwanini tuliuzwa utumwani,wakina chief mangungo, leo tunauzwa, sio tu kuuzwa, kuuwawa, kuteswa, kulawitiwa, kubakwa, kupotezwa na Watanganyika wenzetu waliopewa pesa, cheo.
 
Back
Top Bottom