Kabisa..ila sisi watanzania mpk mtu au gari lisombwe ndo utaona tahadhari zinachukuliwa...Kisheria hiyo barabara ilitakiwa ifungwe kwa muda, hadi maji yatapopungua au kuisha kabisa hapo juu ya daraja.
Hiyo ndio shida yetu watu weusi. Ni kama ule msemo wa kenge kwamba huwa hasikii hadi atoke damu masikioni.Kabisa..ila sisi watanzania mpk mtu au gari lisombwe ndo utaona tahadhari zinachukuliwa...
Tumia browser video zote utaziona app ya JF ina matatizo siku nyingi sana watu wanalalamika.Mbona video haifunguki?
Wabongo wengi akili zao fupi sana. Uwezo wao wa kusoma hatari ni mdogo sanaWabongo bado ni wabishi, hawasikii. Eneo lishaonesha kuwa na madhara. Wao wanapita tu, hivi hapo gari ikisombwa na maji watailamu serikali.
Siku zote nasemaga madereva wengi sahvi ni viherehere tu. Usalama wowote unaanzia kwake.
Ova
View attachment 2836433
Mshana Jr
FRANCIS DA DON
Extrovert
MamaSamia2025
Jamaa alichokiandika hapo juu yupo sahihi.Mkuu kangesa,
Ni halali bajaji apoteze maisha kwa kuwahi shilingi elf3?
Nafikiri ni sahihi kuchukua tahadhali isijalishe aina ya Chombo.
Maisha ni mara moja tu.
Hakika mkuu!Jamaa alichokiandika hapo juu yupo sahihi.
Tumbo lenye njaa haliwezi kuona hatari hatari unaiona wewe uliyeshiba,kweli ni jambo la hatari lakini afanyeje na ndiyo kazi yake?
Yani inatokea wabebwa.. mnawaibua...mnawatandikaa then mnawazamisha tena. Wapumbavu .Wabongo bado ni wabishi, hawasikii. Eneo lishaonesha kuwa na madhara. Wao wanapita tu, hivi hapo gari ikisombwa na maji watailamu serikali.
Siku zote nasemaga madereva wengi sahvi ni viherehere tu. Usalama wowote unaanzia kwake.
Ova
View attachment 2836433
Mshana Jr
FRANCIS DA DON
Extrovert
MamaSamia2025
Shule walizisoma mkuu... Wote hao kayumba..Wa Tanzania ni watu wa ajabu sana
Kwahiyo njaa yake imuue yeye na abiria wasio na njaa wala haraka.Jamaa alichokiandika hapo juu yupo sahihi.
Tumbo lenye njaa haliwezi kuona hatari hatari unaiona wewe uliyeshiba,kweli ni jambo la hatari lakini afanyeje na ndiyo kazi yake?
Sawa sikatai nimeandika utumbo lakini hapo ukitafakari kwa kina utagundua mwenye njaa siyo bodaboda tu hata abiria wake (ambae bodaboda anamtafsiri kama tajiri yake) nae ana njaa vile vile angekuwa ameshiba huo muda tunaomuona anapita hapo mtoni na hatari zote hizo angekuwa kwake amenyoosha miguu lakini hali haimruhusu.Kwahiyo njaa yake imuue yeye na abiria wasio na njaa wala haraka.
Umeandika utumbo.
Wabongo bado ni wabishi, hawasikii. Eneo lishaonesha kuwa na madhara. Wao wanapita tu, hivi hapo gari ikisombwa na maji watailamu serikali.
Siku zote nasemaga madereva wengi sahvi ni viherehere tu. Usalama wowote unaanzia kwake.
Ova
View attachment 2836433
Mshana Jr
FRANCIS DA DON
Extrovert
MamaSamia2025
.,.mpaka damu itoke kumasikio...Kusikia kwa kenge