Hawana tofauti na hao wanaowalalamikia humu kina abduli au angela kiziga.....Kabisa. Tena sana tu.
Anaetaka mamilioni ya watoto wa kitanzania wakose maji na chakula na huduma za LAZIMA huyo ni adui mbaya kuliko hao mafisadi wanao tuharibia nchi.
Vipi mbona sisi wakenya hatajakamatwa na kufikishwa mahakamani?Nyie wakenya tunawasubiri.
Tukana sana hapa lkn tarehe 9 usithubutu kutoka nje .
Utakiona
TumeshaamkaMsikilizeni Mkuu wa mkoa hapa kisha jengeni hoja.
Ile mihemko ya mitaani hatutaki.
Ukiona hakuna la maana hapa toa hoja yako.
Matusi kila asie na hoja anajua.
View: https://youtu.be/AUpLW2hJVQ4?si=if-6aJLJyrEGufCD
Kisha msikilize huyu mzalendo hoja zake.
Kama hukubaliani nazo leta zako tukusome.
N;B Admin please leave this thread alone.
Wakenya waliokuja kufanya fujo wako Jahannam saa hii.Vipi mbona sisi wakenya hatajakamatwa na kufikishwa mahakamani?
Jambazi au mwizi yyt hutafuta sababu tu ili apate kuvamia na kuiba mali za watu.Ishu ni kwa nini Wakenya wafanikiwe kushawishi Watanganyika wachome nchi yao ? Inamaana serikali imekosa ushawishi ?
Kwa maelezo haya ya huyu mjinga, ina maana hii nchi haina ulinzi kabisa!Msikilizeni Mkuu wa mkoa hapa kisha jengeni hoja.
Ile mihemko ya mitaani hatutaki.
Ukiona hakuna la maana hapa toa hoja yako.
Matusi kila asie na hoja anajua.
View: https://youtu.be/AUpLW2hJVQ4?si=if-6aJLJyrEGufCD
Kisha msikilize huyu mzalendo hoja zake.
Kama hukubaliani nazo leta zako tukusome.
N;B Admin please leave this thread alone.
Hao wajinga wanajua wanatetea uislamu na muislamu ilhali mhusika anatetea tumbo lake na uzao wake tu.Hujui unayemtetea kama ungejua ni nani ... Ungeanza maandamano leo
Nilichogundua vijana wengi wa ccm hawana uwezo wa kifikiriMsikilizeni Mkuu wa mkoa hapa kisha jengeni hoja.
Ile mihemko ya mitaani hatutaki.
Ukiona hakuna la maana hapa toa hoja yako.
Matusi kila asie na hoja anajua.
View: https://youtu.be/AUpLW2hJVQ4?si=if-6aJLJyrEGufCD
Kisha msikilize huyu mzalendo hoja zake.
Kama hukubaliani nazo leta zako tukusome.
N;B Admin please leave this thread alone.
Breeding sites wazitengenezeni nyie, vichochoro mnavijenga nyie. Mtaingiliwa si na wake ya tu bali yeyote atakayetaka kuwaingilia. Mmevua na kubong'oa alafu malalamiko kuingiliwa?. Hebu vaeni kwa stara muone kama mtasumbuliwa.Jambazi au mwizi yyt hutafuta sababu tu ili apate kuvamia na kuiba mali za watu.
Wakenya walikuja kuhujumu nchi yetu. Hao vijana wa kitanzania walitumia fursa hio KUVAMIA NA KUIBA MALI ZA WATU.
Full stop.
Mtanzania mwenye njaa aende kuchoma kibanda cha mwendokasi kwa faida gani?
Amkeni fasta kabla wakenya kuja kumaliza nchi yetu
JAnja unazinguaWapi nimeshabikia watu kupoteza uhai wao.? Acha unafiki wa kubandika waungwana sifa wasizo kuwanazo.
Mimi pia nimepoteza ndugu zangu waliokuwa wanakwenda kuswali msikitini. Na pia siwezi kulaumu askari. Manake waliosababisha watu wangu kufa ni hao majambazi wa kenya wakiungana na majambazi wa hapa kwetu.
Askari anaona kundi la watu wanaochoma mali za maskini na kuiba mali za raia na wao kuuawa unategemea atazame tu au?
Acheni mihemko. Semeni ukweli km mnavyofunzwa na BIBILIA. Unafiki sio dili
Uliwahi kukemea hata watu kutekwa nz kupotea?Nyie wakenya tunawasubiri.
Tukana sana hapa lkn tarehe 9 usithubutu kutoka nje .
Utakiona
Nahisi na hayo majigambo yako kuna namna labda utabakia milele.Wakenya waliokuja kufanya fujo wako Jahannam saa hii.
Wanakula kichapo huko.
Tanzania hatutaki taarabu.
Ukija hapa kwa lengo la kuharibu nchi yetu na kuua askari wetu suala la wewe kwenda mahakamani SAHAU. Hapa ni kukueahisheni Jahannamu tu.
Mahakamani haina muda wa kusikiliza wauwaji.⁰
Mbona sijawahi kuona unaongelea ufisadi awamu ya 6 ambao kila siku unaelezwa na CAG. Mfano tu kashfa ya sukari tu siwezi ona ukikiri ni udhaifu. Kuna mambo kama utekaji sijawahi ona ukikosoa. Kiongozi gani wa dini unashindwa kuona thamani ya maisha ya watu? Ngoja siku mgeuziwe kibao kuwa masheikh ndio mlihamasisha mauaji ya kidini na trust me mtateswa kama uamsho ndio akili zitawarudi. Maalim, Shetani hanaga rafiki.Hilo sio swali unaweza kumuuliza mzalendo hata siku moja.
Mafisadi tunawalaani kila siku humu na lazima itafutwe njia ya sio kuwatoa madarakani tu bali wakamatwe na wahukumiwe kwa mujibu wa Sheria.
Kwahio unapotaka kuuliza swali jaribu kuangalia unamuuliza nani.
Ahsanta
Si hapo juu umesema mafisadi wakamatwe na wafunguliwe mashtaka kwa mujibu wa sheria. Toka lini hao unaowaita wezi wa maduka muwaue wakati inatakiwa afikishwe kwenye vyombo vya sheria?Vitisho ni kauli zinazotumika kutia hofu . Mimi sitishi mtu bali naeleza HALI HALISI.
Wale wote ambao wamepanga kuja kuvunja maduka na kuiba mali za Raia safari hii tumejipanga.
We km unadhani hivyo ni vitisho ungana nao.
Hatuwezi kuletewa upumbavu na watu wachache kuturudisha nyuma miaka 40 kwa sababu ya tamaa zao.
We mpuuzi kweli Sherif Majini alikua anaiba wapi alipopigwa risasi ndani ya nyumba yake? Ukipata jibu basi ujue 70% ya waliokufa walimalizwa nyumbani kama ambavyo wewe na kiherehere chako cha kujifanya kulinda mali zako ndio kitakua kifo chako kutoka kwa hao hao unaodhani unawatetea!!Askari anaona kundi la watu wanaochoma mali za maskini na kuiba mali za raia na wao kuuawa unategemea atazame tu au?
Kenya ipi? Mbona kwenye kesi zote za uhaini na ujambazi sijaona popote kuna mkenya kashtakiwa?Manake waliosababisha watu wangu kufa ni hao majambazi wa kenya
Si hapa unashabikia kuua watu ili kuwapeleka akhera. Mbona umekua mtu wa ajabu siku hizi? Unatamani kuuwa watu kisa mali za kidunia?Wale wanaodai wanataka kukomboa nchi tarehe 9 hatutosubiri askari . Tumejipanga kweli kweli.
Safari hii mtaita babaaa.
Sasa njooni nyie wakenya muone akhera kukoje.