Watanzania acheni kupotoshwa, mtz anayejua Kiingereza ameelimika kuliko asiyejua

LENGO KUU LA HIZI SIASA ZA KISWAHILI NI MAJARIBIO MENGINE YA KUWATENGA WATANZANIA NA ULIMWENGU UNAOWAZUNGUKA!
NB: HII NI NCHI YA MAJARIBIO YA MAMBO YA HOVYO HOVYO KAMA 'UPE', VIJIJI VYA UJAMAA, ............ LIST NI NDEFU NA MATOKEO NI KUHAKIKISHA WABONGO TUNAENDELEA KUSHIKA MKIA KIMAENDELEO DUNIANI.
 
Kuelimika maana yake ni kuwa na maarifa ama kujua vitu vingi vyenye kukusaidia kuyajua mazingira na kukabiliana na changamoto zake kuliko awali

Mtanzania anayejua Kiingereza inaamisha anajua lugha moja zaidi kuliko asiyejua [anajua Kiswahili na Kiingreza] maana kiswahili ndio lugha yake ya nyumbani, na Kiingereza amabayo ni lugha nyingine ya ziada itakayomsaidia kuijua mazingira na dunia zaidi

Huyu asiyejua Kiingereza {anajua Kiswahili na lugha mama tu}, inamaanisha hana skill za kuelewa mambo mengi kwa sasa ambayo yapo katika lugha ya Kiingereza na hivyo amezidiwa elimu.

hata kwenye kuajiri ,muajiri hata kama anamuajiri shamba boy au housegirl, au anaajiri Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni, atampa nafasi mwenye kujua Kiingereza kuliko asiyejua, shamba boy anayejua Kiingereza ataweza kusoma hata maelezo ya kwenye dawa ama chakula cha mifugo na kufanya kazi kwa utaalamu unaotakiwa zaidi, housegirl anaweza kusoma hata njia salama ya kutumia vifaa vya umeme n.k

Mjadala uliooendeshwa na HakiElimu

Siku za karibuni, HakiElimu waliendesha mjadala kuhusu lugha inayotakiwa kufundishia kwenye shuleni hadi vyuo vikuu, mjadala huu haukufikia tamati, pia nimesikia mjadala huu ukiendeshwa kwenye kituo fulani cha redio leo asubuhi

Wachangiaji wengi wanaounga mkono Kiswahili kitumike hadi elimu ya juu point zao ni kuwa Kiingereza sio utamaduni wetu, wengine wanasema pia Kiswahili kitakua kirahisi kufundishia

Kiingereza Sio Utamaduni Wetu

Wanaoshikilia Kiingereza sio utamaduni wetu na ni mfumo wa ukoloni mamboleo hivyo hakifai kutumika, hawajajiuliza mbona tuna dini ambazo sio utamaduni wetu? mbona mfumo wa utawala sio utamaduni wetu? mbona kuna mifumo mingi sana kuanzia afya, elimu kiujumla, mavazi hadi nyumba zetu ambazo sio utamaduni? hii mifumo tuiache kwa sababu ni ukoloni mamboleo? na kwani utamaduni ni kitu gani anyway? utamaduni ndio unaboresha maisha ya watu?

Utamaduni ndio utakuwezesha kuwa na viwanda vyako mwenyewe? ndio utakusaidia kuboresha kilimo, afya, na makazi bora?

Na wachangiaji waliokuwa wakisema Kiingereza sio utamaduni wetu hao hao wamewapeleka watoto wao shule za Kiingereza na wakiongea utawasikia wakichanganya Kiingereza na Kiswahili [Swanglish] kwenye mazungumzo yao hadi wanakera. Unafiki ulioje

Ukijifanya unangang'ania utamaduni wako unaweza kujikuta unarudi kwenye zama za mawe huku wenzako wanaojichanganya na dunia wakisonga mbele

Kiingereza Kinachangia Wanafunzi Kufeli

Kingine ni kuwa kuwafundisha kwa Kiingreza wanafunzi wetu sekondari ambao msingi wao ulikuwa ni Kiswahili ndio kinachowafanya wasifaulu..

Hili nalo sijui lina ukweli gani kwani mwanafunzi kama anazingatia masomo na kujifunza kweli lugha itamsumbua tu akiwa kidato cha kwanza, maana lugha sio kitu kigumu sana kujifunza hata.

Hata wale wanaoanza kidato cha kwanza wakiwa na advantage ya kujua Kiingereza huwa sio wanaoongoza darasa hadi, wanaweza kuongoza form one pale mwanzo ila wanakuja kupitwa tu

Na kama Ingekuwa Lugha ndio tatizo sana mbona ufaulu wa somo la Kiswahili hautofautiani na masomo mengine? mwaka tuliomaliza shule somo la Civics ndio lililoongoza kwa watu kufaulu na sio Kiswahili

Hata ukicheki kitaifa Kiswahili halijatofautiana na masomo Mengine kwa ufaulu

Hata kama lugha ingekuwa ni tatizo kwani tusingeweza kuanza kuwafundisha kwa kiingereza kuanzia shule za awali? maana wanaosoma shule za msingi kwa Kiingereza wakifika sekondari hawaangaishwi na lugha lakini hata hawaongozi darasa pia!

Na hata kama hili ni tatizo basi tungeanza taratibu kuifanya kiingereza kuwa lugha ya kufundishia shule za msingi, tukianza sasa hivi ndani ya miaka 15 hivi tutakuwa tumeshaweza kufanya hili

Na haimaanishi kuwa tutakuwa tunaitupa ;lugha yetu ya kiswahili, hii ni lugha amabayo tuanitumia nyumbani kila siku na bado itakuwa inafundishwa shuleni kuanzia msingi hadi sekondari

Wewe una lako unalotaka kulisema lakini unajizungushia tu. Ninamfahamu daktari Mtanzania bingwa wa mifupa anayefanya kazi India ambaye alisomea Urusi enzi hizo ambaye anasifika sana katika taaluma yake. Kiingereza chake ni cha hivyohivyo. Daktari mwingine anafanya kazi ughaibuni alisomea Cuba naye Kiingereza chake ni cha hivyo hivyo lakini kazi yake inasifiwa sana. Mtaalamu mwingine ni Engineer aliyesomea Ufaransa yuko nchini TZ na kazi yake inaaminika. School mate wangu alikwenda Hungary kusomea architecture na sasa yuko nchini TZ. Kazi yake ni nzuri tu. Wote hao ambao nimewakumbuka kwa harakaharaka Kiingereza chao si kizuri sana. Sasa hizo porojo zako za Kimombo sijui zinalenga nini. Elimu ni ujue kutekeleza shughuli uliyonayo. Siyo kimombo.
 
Sioni shida kukutumia kiingereza, kama usipo kijua basi isiwe tabu kwa wengine, kingereza ni lugha ya kibiashara na unatumika sana duniani, sasakama dhamira ya kusoma ili tuweze sehemu ya ushindani duniani basi kingereza ni sehemu ya mchakato....
 
Natamani watoto wangu wafundiswe Kinyalu maana hakiwapi shida
Nu sawa ni suala la kimfumo tu mbona kuna jamii zinafanya hivyo anagalau mpka std 3. Tunachotaka ni maarifa yafike na kuongeza ugunduzi wakati wa kusoma siyo kukaririshana maarifa
 
Unataka kusema kiswidish, kikorea, kimalay, nk vina misamiati mingi sana ya kisanyansi sawa na kiingereza? kiingereza kinatakiwa kitiliwr mkazo kama lugha ya kimataifa, tunatakiwa kuijua lakini haipaswi kuwa lugha ya kufundishia.
Mkuu hawa watu hawataki kusikia kuhusu hizo takwimu...mwisho wa siku watakuita mnafiki...Iceland ni mfano mzuri sana
 
Back
Top Bottom