bwana mkubwa hajatoa kauli?
Kauli gani ya ziada baada ya kumnusuru mziwanda wake na majina ya magwiji wa biashara hiyo anaidi kuyahifdhi ili wsiguswe ama kudhuriwa!!!
bwana mkubwa hajatoa kauli?
Hakika kwa sasa kuyumia passport ya Tanzania ni noma. Nakumbuka last week nikiwa natoka Washington DC kurudi Doha, nikiwa airport ya Dullus nilikutana na mama mmoja mtu mzima akiwa na umri usipungua miaka 65 kutoka Tanzania akiwa na bint yake wakiwa nao wanasubiri Qatar airways kupitia Doha kwenda Dar.Basi tukawa tunajinafasi kuongea lugha ya kiswahili wakti tunasubiri ndege.
Hakika mimi na mke wangu tulistahajabu sana huyo mama na binti yake walivyopekuliwa kwa takriban dakika 25 kila mmoja na baaade kuruhusiwa na tulipowauliza vipi mama kulikoni mnapekuliwa hivyo kama waNigeria akasema mambo ya Unga hayo ndio yanayotufanya tusiaminike Duniani.
Hakika Unga umeiweka pabaya sana Tanzania na waTanzania wasiaminiwe popote wanapopita Duniani.
Hicho ni kichwa cha habari, habari kamili iko wapi? Waje wawakamate na hao waliowatuma kwa sababu rais wao alikuja na makamu wake kaja juzi tu na sijawasikia wakilalamika kuhusu madawa ya kulevya kutoka Tanzania.
Labda si wewe hujasikia vizuri au uliyemsikia hajaongea sawa.
China wanasheria ya kuuwa kwa watu wanaokamatwa wakiingiza na kusambaza madawa ya kulevya lakini si kwa kunyonga.
Kwa hiyo hao Watanzania itakuwa wamehukumiwa kuuliwa lakini nakuhakikishia hukumu hiyo (kama ni habari za kweli) basi haitakuwa kwa kunyongwa, wanatandikwa risasi za kisogoni.
natamani riz1 asingehonga gas ili anyongwe mpaka kufa...
Labda si wewe hujasikia vizuri au uliyemsikia hajaongea sawa.
China wanasheria ya kuuwa kwa watu wanaokamatwa wakiingiza na kusambaza madawa ya kulevya lakini si kwa kunyonga.
Kwa hiyo hao Watanzania itakuwa wamehukumiwa kuuliwa lakini nakuhakikishia hukumu hiyo (kama ni habari za kweli) basi haitakuwa kwa kunyongwa, wanatandikwa risasi za kisogoni.
mkuu ina maana hujaona neno 'china'? au umesoma chini?
wanyongwe mara mbili mbili hao
mbona wewe hukupekuliwa hivyo!!?? Au wewe hutumii passport ya bongo!??
TZ KWANZA una ubishi wa kitoto
Na wale tulio wakamata na pembe za ndov nao cjui tunawafanya nin