Watanzania 325 wafa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania 325 wafa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by STREET SMART, Nov 29, 2011.

 1. STREET SMART

  STREET SMART JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 666
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Wakati vyombo vyetu vya usalama wa raia na barabarani vikiwa bize na kuzuia maandamano kwa intalijensia ya alshabaab - watanzania 325 wamefariki dunia kwa ajali za barabarani kwa mwezi oktoba pekee; na zaidi ya watanzania 2000 wamefariki kwa ajali za barabarani kuanzia january 2011. Tunazidi kupukutika, siku hizi ila dakika ambayo mtu unasafiri unakuwa roho mkononi.


  Source: Tbc & kamanda mpinga
   
 2. P

  PAFKI Senior Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Kweli mkuu, kwann wasitumie intelijensia kuzuia na ajali zisitokee sio kwa maandamano kunyima haki za watanzania tu
   
 3. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kuwachia watu wafe kwa ajali ni moja kati ya "njia za kiintelijensia" kuzuwia/kudhibiti ongezeko la watu nchini".
  Hongera kwa wanaintelijensia wetu.
   
 4. STREET SMART

  STREET SMART JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 666
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  watafute njia zingine salama tu; mzee wa intalijensia KOVA uko wapi?
  Nadhani kama kungekuwa na mgao wa 10 pasenti ktk kuzuia ajali, tungefanikiwa.
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wafa?????? sa ngapi?
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Polisi wamehusika vipi na hizo ajali ndg.
   
 7. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Maandamano ya chadema ni hatari kuliko hizo ajali, na pia inteligensia inaonyesha kuwa Alshababu wanawinda maandamano ya chadema tu..wengine mjiachie kwa raha zenu.!
   
Loading...