Papaa Muu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 243
- 292
Kuimarika kwa diplomasia ya uchumi kwenye serikali ya Rais Magufuli kumesababisha Watanzania kunufaika kwa njia mbalimbali ikiwamo kupata mafunzo ya kimkakati nje ya nchi.
Mwaka 2019, serikali ya Tanzania iliwapeleka vijana 100 nchini Israel ambapo walipata mafunzo ya mbinu bora na teknolojia ya kisasa ya kuendeleza kilimo cha umwagiliaji.
Lengo likiwa ni kuongeza ufanisi kwenye sekta hiyo na kukifanya kilimo kiwe na tija.
Sambamba na hilo, Waziri wa Kilimo wa Tanzania, Mh.Japhet Hasunga akaenda Israel ambapo alitembelea mashamba na viwanda vya usindikaji.