Bonsipele69
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 382
- 945
Hama Darnendeni mbali na kwenu
Bakhresa angebakia Zanzibar akaacha kuja Buguruni sijui km leo angekua TajiriSasa kama fursa ipo hapo hapo nyumbani je?
Itabidi ukaze
Mwenye njaa hachagui chakula maisha yakikugonga vizuri mbona utabadilika tu
Hii imewagharimu wengi, "STATUS" hewa.Habari za asubuhi familia.
Naandika nikiwa na uchungu sana moyoni lengo ni kuwahasa vijana wenzangu hii kitu Watanionaje ni roho ya shetani yenye lengo la kuzuia maendeleo hasa kwa vijana kuchukua hatua ya kuthubutu fursa mbalimbali zinazokuja mbele yao kwa sababu ya STATUS.. naandika hili baada ya kumkumbuka swaiba angu mmoja hivi ambae kijijini kwao huko ukisoma hadi form six umetusua na wanaamini ukiwa advance unalipwa mshahara hivyo kipindi cha likizo akiwa apeche aloo alikuwa anashindwa kulima vibarua kwa kuogopa watanionaje.. Nawashauri wale wenye Status nendeni mbali na kwenu ndo utajitafuta bila kuangalia pembeni watu wanasemaje... Nawasilisha
baelezee hata mimi niko huku nabeba boksi napiga hela yaani niliona bongo bahati mbaya.Habari za asubuhi familia.
Naandika nikiwa na uchungu sana moyoni lengo ni kuwahasa vijana wenzangu hii kitu Watanionaje ni roho ya shetani yenye lengo la kuzuia maendeleo hasa kwa vijana kuchukua hatua ya kuthubutu fursa mbalimbali zinazokuja mbele yao kwa sababu ya STATUS.. naandika hili baada ya kumkumbuka swaiba angu mmoja hivi ambae kijijini kwao huko ukisoma hadi form six umetusua na wanaamini ukiwa advance unalipwa mshahara hivyo kipindi cha likizo akiwa apeche aloo alikuwa anashindwa kulima vibarua kwa kuogopa watanionaje.. Nawashauri wale wenye Status nendeni mbali na kwenu ndo utajitafuta bila kuangalia pembeni watu wanasemaje... Nawasilisha
Habari za asubuhi familia.

🤣🤣Nimekumbuka mbali sana....nilikuwa na deli langu la keki ghafla demu niliyemaliza naye sekondari akaniona...nilitamani nitupe deli Ila nikajikaza tu
Ila sasa mambo yamebadilika nimepiga hatua na wala simuwazi mtu tena kwa niliyoyapitia