Watangazaji wa Star TV

Watangazaji wa Star TV

Jofeya

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
50
Reaction score
27
Hello guys.

Nauliza hv watangazaji wote wa star tv ni wa mwanza pekee...maana naona swaga zao zinafanana wote..pls iw want to know it
 
Kuna mmoja anaitwa Jacob Marcus ana pengo hv hlf anapenda kucheka.

professionalism hakuna startv
wameamua kuua chombo hicho kwa miadi ya ukanda ,ubinafsi#uchama.
Ndyo maana watangazaji wa maana wamekimbia

kamuntu..yahya...baruani#others
 
inaposema swaga za kitangazaji unamaanisha nini?labda tuanzie kwanza hapo.
 
yaani Leo asubuhi mmoja amenishangaza mtangazaji amevaa soksi kichwani!
 
yaani Leo asubuhi mmoja amenishangaza mtangazaji amevaa soksi kichwani!? seriously?!
 
Wanavaa kilocal sana2 akina dada utafikiri wametoka nyanguge leo asubuhi.
Waliokuwa wanawachangamsha kina kamumtu na wenzake wamekimbia wamebakia sintofahamu tupu.
 
Juzi kuna mtangazaji aliingia na embe studio. Kwakweli hawa wamejichokea
 
Back
Top Bottom