Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Jana katika kipindi cha Ubaoni Efm watangazaji wa kipindi hiki bila kuona aibu waliwaambia Chege na Temba waache musiki wakauza Pweza kusema ukweli niliwashangaa sana na kuwadharau hivi kuna Mtanzania asiyejua uwezo wa Temba na Chege,watangazaji wa Tanzania wanatumia majukwaa ya Radio zao kutangaza chuki binafsi.
Nakuomba waziri wa Habari, Nape Nnauye kukomesha tabia hii ya kutumia radio kuanza kuwashambulia wananchi, Temba na Chege ni wasanii wakubwa sio wa kuwaambia wakauze pweza.
1:Mpoki
2:Seti
Na kibonde wa clouds ni baadhi ya watangazaji wanao tumia vibaya radio