Watangazaji mnaaibisha walimu wenu

Watangazaji mnaaibisha walimu wenu

mwakibolo

Senior Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
163
Reaction score
47
Imekua ni kawaida sana kwa watangazaji kwenye TV kukosea.

Upendo Msuya wa Channel 10 jana alinishangaza aliposema fuvu la mtu wa kale liligunduliwa mwaka 1957.

Hivi huyu dada hakuwahi kusoma history shule ya msingi na secondary?
 
mi mwenyewe niliisha sahau.... mambo ya history mi yalipita kushoto
 
hiyo aina umuhimu wowote aiongezi chochote kwenye kazi yako ya udereva
 
hiyo aina umuhimu wowote aiongezi chochote kwenye kazi yako ya udereva

Hahahaaa umenichekesha, ila angepatia hapo wangemsifia yeye kama yeye ana akili, kakosea basi aibu wanataka agawane yeye na mwalimu wake. Mbona walimu tuna hali ngumu hiviii?

Mbona hamumsifii mwalimu wake wa kusoma kimya na kusoma kwa sauti alivyompika hadi akawa mahiri katika kusoma habari?
 
Mm huwa wana nishangaza tu kipindi cha michezo: huwa wanawasumbua sana akina Julio na Mkwasa kwa maswali mengi na kebehi rundo!

Ila Azam, Yanga au Simba zikishinda utaona tu Mic bila mtangazaji! Wala maswali! Ngeli issue!! Ka ile ya Shilole!! Ha ha ha
 
Hahahaaa umenichekesha, ila angepatia hapo wangemsifia yeye kama yeye ana akili, kakosea basi aibu wanataka agawane yeye na mwalimu wake. Mbona walimu tuna hali ngumu hiviii?

Mbona hamumsifii mwalimu wake wa kusoma kimya na kusoma kwa sauti alivyompika hadi akawa mahiri katika kusoma habari?

Umenikumbusha jamaa mmoja aliwahi sema matokeo yakiwa mazuri ni ya serikali ila yakiwa mabovu ni ya walimu.
 
Kosa hilo! Lina rekebishika msisahau hata vitabu navyo ovyo havina takwimu sahihi
 
Haya tushapata jibu hapo juu.....

Kuna mmoja hapo juu amemwambia mleta mada haitamsaidia katika kazi yake ya udereva.

Ubishi nilioundaa nimeuahirisha. Naona itakuwa kama tu ubishi wa samaki na mamba wakibishana eti: "nani kati yao (mamba vs samaki)

anayafaidi vizuri maji...?"
 
MInafikiri kosa si la mwalimu

inawezekana ikawa, kweli, hebu nisaidie na hili, watangazaji wengi wa radio/tv huwa kutaja decimal points ni shida, mfano. uchumi umepanda kwa asilimia 7.15,wao wanatamka asilimia 7 nukta 15!!!!!(badala ya 7 nukta moja tano) tena ni kutoka vituo vikubwa kabisa!! hii si hesabu za std 5,jinsi ya kutamka decimal point, hata bungeni kuna waziri/wabunge huwa wanatamka sana.
 
Back
Top Bottom