Watangaza nia walikuwemo bungeni tangia 2000 - 2015

Kuwepo Bungeni si hoja!Maana kuwepo hata wabunge wengine ambao hawajatangaza(maana watatamgaza tu, it is just the matter of time) walikuwepo.

Kuwepo Bunfeni si hoja, ila kuwepo Bungeni na kupiga kura ya "Ndiyoooooooooooo" kwa kila jambo ndiyo hoja!

Kuwepo bungeni ni hoja tena ya msingi... ina maana..
1. Wamesahau kuwa walisema NDIYOOOOO hayo wanayodhani yalikuwa mabaya..?
2. Kwa nini hawakuwa watu wa kutaka kurekebisha hayo wakati wakiwa hukoo..??
3. Rushwa inajulukana na kila mtu, JK alishasema rushwa ndani ya CCM ipo, sasa hao watangaza nia wanapojidai kupigana na rushwa watakapopewa madaraka kwa nini hawakufanya hivyo walipokuwa wabunge..?? AU rushwa inapiganwa na raisi pekee..??
 
Hii pia ni nikiboko ya ccm
 
Haya maswali hata mi najiuliza sana!!
 
Back
Top Bottom