Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
- Thread starter
- #41
Hawana Logic yoyote wanafanya mazingaombwe tuuMaCCM wakiwa nje ya CCM wana kuwa na logic ila wakirudi ndani wanakuwa maboga sijui kwa nini
Hawana Logic yoyote wanafanya mazingaombwe tuuMaCCM wakiwa nje ya CCM wana kuwa na logic ila wakirudi ndani wanakuwa maboga sijui kwa nini
Wa Tanzania wa sasa wamediriki kwenda kulala vituoni ili wajiandikishe basi jua ccm imeondoka madarakani! Tena Bila kuaga
Yaani asubuhi ya leo nikitoka nyumbani nasikiliza magazeti redioni hili wazo lilinijia, 'hivi Kigoda ye hataki urais' sijamsikia, kumbe anatangaza!
Si bora sheria ikawekwa tu kuwa urais uwe mwezi mmoja mmoja ili kila mtanzania apate? Maana kama ni hivyo kila mtu anaweza. Tangu nipate akili ndio sasa napata kushangaa mno kwa hizi nia zinazotangwazwa hasa na wanachama wa CCM. Hivi wanaamini wana jipya au basi tu! Hivi wanajua wanavyotuchosha?
Kwa CCM kashfa ni jambo la msingi sana, % kubwa wenye/waliokuwa na kashfa ndio wako mbele kutaka urais na tena wanaungana mkono ka mazuzu vile. Ngoja tuendelee kuwasikiliza
naomba picha tafadhari
Kwani mulipowachagua Kikwete na Mkapa hawakuwepo bungeni au serikalini na mbona muliwachagua ???????? (Wtz si watu wa nani kafanya au atafanya nini ila ni watu wa nani katokea chama gani, subiri huone maajabu ya wtz october )
Kwani mulipowachagua Kikwete na Mkapa hawakuwepo bungeni au serikalini na mbona muliwachagua ???????? (Wtz si watu wa nani kafanya au atafanya nini ila ni watu wa nani katokea chama gani, subiri huone maajabu ya wtz october )
Sijawa kusikia nzi au mende eti wasafi!
Message Kutoka kwa Wapiga Kura wa Tanzania wanasema Tukutane OCTOBERKazi yao hasa wa ccm ilikuwa ni kulala na kupiga makofi pindi wakiamka. Hakuna hata mmoja aliyewahi kukemea ufisadi hata kwa maandishi. Hakuna aliyewahi kukemea uchakachuaji wa katiba uliokuwa unafanywa na mlevi wa madaraka sitta.
Hakuna aliyewahi kushinikiza serikali ya ccm kutekeleza ahadi japo zilikuwa ahadi hewa. Kazi kubwa waliyofanywa ni kuhongwa na wizara mbalimbali ili bajeti zao ambazo ni kitanzi kwa watz zipitishwe
Message Kutoka kwa Wapiga Kura wa Tanzania wanasema Tukutane OCTOBER
walikuwepo wakati wagawa viwanda vyetu leo wanajidai tatizo la ajira bomu,walikuwepo wakati wanajipendelea kugawana nyumba zetu leo wanachukia umasikini,elimu inatelekezwa walikuwepo pia
Umenena sawasawa kabisaaaa.....lakini hatuwezi kukutana october km majuha. ELIMU KWANZA
Ndio Maana tupo Vijijini kuwaelimisha Watanzania
Bora tunao kuwa nao ambao hawajasoma tutawaendeleza, kuliko kua nawasomi ambao nimajizi, Mafisadi na MatapeliUKAWA kwa ilivyo sasa sio option.CCM ni mbaya lakini UKAWA NI HOVYO ZAIDI, kuiweka UKAWA madarakani ni kuirudisha Tanzania miaka mingi nyuma.
Can you imagine nchi ya Waziri Mkuu Form Four Failure?Waziri Sugu, Mchungaji Msigwa...elimu form 4, Lema elimu form two??ndio serikali hiyo??
Pamoja na chuki yangu kwa CCM Ukawa sio option.
Chadema si ndio hii ambayo taarifa ya CAG imesema nayo mahesabu yake yana mashaka?kuna mabadiliko hapo tofauti na ilivyo sasa?Chadema si ndio hii ambayo imegeuka kuwa saccos??ambayo viongozi wanateuana kwa kujuana, angalia wabunge viti maalum wamejaza wake zao, watoto wao, wakwe zao, dada zao na mahawala wao, ndio mabadiliko hayo?no ni kurudi nyuma.
WENYE AKILI WANAJUA MABADILIKO TUNAYOYATAKA SIO SURA ZA WATU WALA RANGI ZA BENDERA ZA VYAMA VYAO,MABADILIKO SIO KUTOA MWIZI MMOJA NA KUMUINGIZA MWIZI MWINGINE, MABADILIKO NI VITENDO.
TWENDE NA MWIGULU
Siyo kwenye hichi chama cha Chukua chako Mapemaenzi za nyerere hawa walitakiwa kulambwa viboko hadharani kwa kujilimbikizia akili wakati wanajua fika kuwa zingetumika kuleta maendeleo ya nchi.