Watanganyika waendelea kukomeshwa, sasa hakuna cha bure

Watanganyika waendelea kukomeshwa, sasa hakuna cha bure

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,007
Reaction score
288,275
Taarifa kamili hii hapa

Screenshot_20261028_144322_Instagram.jpg
Screenshot_20261028_144337_Instagram.jpg
 
Na TAZARA ipo badala ya kuimarisha TAZARA mnakimbilia tozo, afadhali hizo tozo iwe kwa magari/malori yanayoenda nje na si kutubebesha mzigo wa tozo na hapo ndio uwezo wenu wa kufikiri umefika tamati, acheni matumizi huko serikalini, je hizo tozo nyingine zimesaidia nini? hiyo bandari mliwapa waarabu imesaidia nini? adui wa mtanganyika ni mtanganyika mwenyewe!
 
Zile kodi za kikoloni za kichwa,matiti tax,baiskel zimerudi zote.kilichofanyika ni kubadili majina tu. Kuna nchi ya ulaya iitwayo loxembourg kule watu wanapanda bus na usafiri wa reli bure sababu ya viongozi wao kuwa na uwezo mkubwa wa kutumia rasilimali lakini hapa sasa tuna viongozi bogus.
 
Watu ambao hawakuchaguliwa ni tatizo, watanganyika wataikomboa nchi yao na watapata viongozi waliowachagua na box la kura litapata heshima yake.
 
Back
Top Bottom