Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,949
- 47,742
Gari kuingia Nchini kodi ni kubwa balaa harafu mnataka kuja na Tozo mpya huko nitatoka na wazala road potelea mbali..
Hao wabunge wa kujiteua ni pimbi kweli wao huwa wanalipwa na kula vinonoWazo zuri laki pia ukubwa wa Bunge na mabalaza ya madiwani yapunguzwe